MKALI WA MAMBO
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 211
- 146
JPM katoa mapunziko ya siku 4 watu walie na kila mtu awaombee kwa imani yake ya dhatHivi kukiwa na maombolezo watu huenda kazini ?
Ni sawa tu sioni cha ajabuHili jukwaa uliloleta habari yako sasa
Hapana tunaenda ziwan kusaidia shughuli za uokoajiHivi kukiwa na maombolezo watu huenda kazini ?
Ahaa Aisee siwezi kuacha JfHapana tunaenda ziwan kusaidia shughuli za uokoaji
Mi ndo naelekea .. We unasubir nn
kwa nini mkuu wanguAhaa Aisee siwezi kuacha Jf
Maombolezo na mapumzuko ni vitu viwili tofauti, JPM katoa siku za maombolezo.JPM katoa mapunziko ya siku 4 watu walie na kila mtu awaombee kwa imani yake ya dhat