Hakika ni mashujaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakika ni mashujaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Negative, Jan 12, 2011.

 1. Negative

  Negative Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja na yote ambayo chama tawala na jeshi la polisi wanasema kuhusiana na vifo vya ndugu zetu pale arusha, nafsi yangu inawatambua watu hawa kama mashujaa wa kweli katika ukombozi wa KWELI katika nchi hii, damu yao haijamwagika bure, siku moja italeta uhuru.. Mungu na aziweke pema roho zao
   
 2. Tekelinalokujia

  Tekelinalokujia JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  amina
   
Loading...