Hakika MUNGU wetu ni wa Ajabu

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
224052_344146652349819_835248915_n.jpg


Hakika MUNGU wetu ni wa Ajabu anajua nini alicho fanya anatambua uwepo wako kwa nini umkosoe kwa mchina ujui anakuwazia nini.

INAKUPASA KUMSHUKURU KWA KILA JAMBO AMBALO AMEKUTENDEA NA SI KUMKOSOA KWANI KUNAWATU WANATAMANI KUWA KAMA WEWE!!!

TUSEME ASANTE MUNGU KWA UUMBAJI WAKE............!!!
 
Mungu utukuzwe milele! Ninakuomba radhi kwa kushindwa kukuambia asante hasa pale ninapoweza kufanya kile ninachotaka kwa wakati ninaoutaka bila kufungwa na maumbile. Mungu wasaidie viumbe hawa ili waishi kama malaika bila kulalamika hadi watakapouona utukufu wako!
 
Back
Top Bottom