Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Hizi ni facts mkuu. Kuna vitu huwezi kuvianika hapa jukwaani kwa sababu maalum.Nilidhani unazungumza kwa facts kumbe bado una base kwenye maneno yenu ya kijiweni Lumumba?
Kwa heri na jumapili njema!
Hebu twende taratibu mkuu, umesema mtu mwingine akitaka hicho cheo basi inakuwa mbinde.Hizi ni facts mkuu. Kuna vitu huwezi kuvianika hapa jukwaani kwa sababu maalum.
Mkuu Chakaza CCM ina udhaifu mwingi tu. Lakini kwenye hii demokrasia ya miaka kumi ya mwenyekiti wapo vizuri sana.Hebu twende taratibu mkuu, umesema mtu mwingine akitaka hicho cheo basi inakuwa mbinde.
OK, hayo ni maoni yako (yenu) na tuuaache mubaki nayo.
Lakini nakumbuka kuna watu walikuwa ndani ya Chadema wakafanya njama kubwa sana kutaka ZZK agombee cheo hicho. Watu hao nadhani unawakumbuka, Kitila, Mgwamba, Msando kwa uchache.
Lakini baada ya zoezi lao kushindwa na kufukuzwa wakaenda kuanzisha ACT. Jee bado wapo ACT? Ni kuwa hata huyo ZZK wamemtosa na kwa vile hawakuwa na mioyo ya upinzani dhidi ya ccm bali special assignment ya kuvuruga wamerudi CCM.
Hapo ndio nataka kukuambia kuwa Chadema ni chama kubwa na kinajua mbinu chafu, wakiona wakati wa kufanya mabadiliko ya mwenyekiti watafanya. Hujawahi kuona Mbowe anafanya lobbying kubaki madarakani bali ni wanachama wenyewe ndio wanataka.
Hakuna mambo kama yale ya Dodoma eti kura zote ndio halafu mamia wanajitokeza kudai kura zao za hapana zimeenda wapi?
Mkuu hii miaka minne iliyoongezeka mbona nyie CCM ndio inawauma sana kuliko hao unaosema wewe (nyinyi) kuwa wamenyimwa demokrasia ndani ya Chadema?Mkuu Chakaza CCM ina udhaifu mwingi tu. Lakini kwenye hii demokrasia ya miaka kumi ya mwenyekiti wapo vizuri sana.
Hata kama ipo mizengwe inapofika kipindi cha kumpata mwenyekiti mwingine, bado kinachofanyika ni alama ya demokrasia.
Hao wanaomkubali kaka Freeman na kumruhusu aendelee kuwepo miaka nenda miaka rudi bado hawajaifahamu maana njema sana ya neno Demokrasia.
Vinginevyo jina la chama libadilishwe ili neno Demokrasia liondolewe kwani kuendelea kuwa na kiongozi mmoja tu asiyefikiriwa kupata wa kumpokea kijiti, ni upungufu wa Demokrasia halisi.
Huu ndio uwezo wa kisiasa unaohitajika. Hotuba haina kejeli, matusi wala maneno ya kuudhi wengine.
Kumbe ndio maana wale wanao muogopa kwa kusema kwake ukweli bila woga wala Uchadema bali Utanzania hawataki aendelee kuwepo siasani na pengine hata duniani.
Dr Akili ungetumia akili kidogo ingekusaidia. Hivi mfano kama hiyo ya kuchoma vifaranga ni mwaka juzi?
Muwe wakweli kidogo na Mbowe ni Mtamzania mwenzenu Hakuna haja ya kuwa na chuki naye namna hiyo hasa kwenye ukweli
Mkuu hii miaka minne iliyoongezeka mbona nyie CCM ndio inawauma sana kuliko hao unaosema wewe (nyinyi) kuwa wamenyimwa demokrasia ndani ya Chadema?
Kuna usemi nimeusikia Jana kutoka kwa wana Chadema "Msiye mtaka nyinyi ndio tumtakaye".
Inaonyesha CCM inatumia nguvu kubwa kuwalazimisha Chadema wamteme Freeman, ndio wanazinduka na kujiuliza why Mbowe tuu na sio Mrema, Cheyo au Lipumba (ambaye wanatumia mpaka fedha arudi madarakani?)
Hapo ndipo wanaona lazima aendelee huyuhuyu WASIYE MTAKA.
unauhakika?Hiyo spichi ni ya mwaka juzi kabla hajachanganyikiwa na kuota mvi nyeupe. Sasa hivi ni full matusi, uchochezi na uhaini! Hata bungeni hahudhurii tena, bila ruhusa ya spika. Bunge la bajeti karibu linaisha hajahudhuria hata siku moja. Spika atakapomchukulia hatua matusi atakayoyatoa itatubidi tuzibe masikio!
hahahahah yaaaa ni makini sana hasa katika kulamba fweza namnyooshea mikono na.miguu juu...mtu pesa hiyo , ndesapesa...unadhani mafisadi yangeweza kusafishwa hivihivi burebure...na kuamua.kuchenjia gia angani ili mtu atuliwe softly..soft landing..hahahahaha..ni ajabu na kweli..werevu tumebaki tunangaa macho tu..jamaa lunauma na kupulizia..ni usanii uliopindukia hata msomi aliyepata digrii ya usaniii mamvi haingii hapa..Huu ndio uwezo wa kisiasa unaohitajika. Hotuba haina kejeli, matusi wala maneno ya kuudhi wengine.
Kumbe ndio maana wale wanao muogopa kwa kusema kwake ukweli bila woga wala Uchadema bali Utanzania hawataki aendelee kuwepo siasani na pengine hata duniani.
Fedha za Chadema maumivu ya kuibiwa yako CCM. Hii hata mjinga atagundua.hahahahah yaaaa ni makini sana hasa katika kulamba fweza namnyooshea mikono na.miguu juu...mtu pesa hiyo , ndesapesa...unadhani mafisadi yangeweza kusafishwa hivihivi burebure...na kuamua.kuchenjia gia angani ili mtu atuliwe softly..soft landing..hahahahaha..ni ajabu na kweli..werevu tumebaki tunangaa macho tu..jamaa lunauma na kupulizia..ni usanii uliopindukia hata msomi aliyepata digrii ya usaniii mamvi haingii hapa..
Anayezungumziwa ni Freeman sio hao wengine. Nyinyi mnajinasibu kwamba ndio chama mbadala wa CCM, hivyo kutokana na kujikweza na kujipa umuhimu kwenu ndio maana tunaona ipo haja ya kukusaidieni kwa kukupeni ushauri ili kweli mfanane na hadhi ya kuwa chama kikuu cha upinzani.Mkuu hii miaka minne iliyoongezeka mbona nyie CCM ndio inawauma sana kuliko hao unaosema wewe (nyinyi) kuwa wamenyimwa demokrasia ndani ya Chadema?
Kuna usemi nimeusikia Jana kutoka kwa wana Chadema "Msiye mtaka nyinyi ndio tumtakaye".
Inaonyesha CCM inatumia nguvu kubwa kuwalazimisha Chadema wamteme Freeman, ndio wanazinduka na kujiuliza why Mbowe tuu na sio Mrema, Cheyo au Lipumba (ambaye wanatumia mpaka fedha arudi madarakani?)
Hapo ndipo wanaona lazima aendelee huyuhuyu WASIYE MTAKA.
Mkuu gemmanuel265 kwa hiyo una maanisha huyu ndugu yetu kauvua werevu na kuuvaa u.............??? πππππHatuna huo muda wa kusikiliza ujinga!
Hakuna anelazimisha Mbowe atemwe ama ajiuzulu, watu tunataka demokrasia ifuatwe.Mkuu hii miaka minne iliyoongezeka mbona nyie CCM ndio inawauma sana kuliko hao unaosema wewe (nyinyi) kuwa wamenyimwa demokrasia ndani ya Chadema?
Kuna usemi nimeusikia Jana kutoka kwa wana Chadema "Msiye mtaka nyinyi ndio tumtakaye".
Inaonyesha CCM inatumia nguvu kubwa kuwalazimisha Chadema wamteme Freeman, ndio wanazinduka na kujiuliza why Mbowe tuu na sio Mrema, Cheyo au Lipumba (ambaye wanatumia mpaka fedha arudi madarakani?)
Hapo ndipo wanaona lazima aendelee huyuhuyu WASIYE MTAKA.
Hilo swali waache wana Chadema wajiulize wenyewe, iweje ccm ndio mnajiuliza?Hakuna anelazimisha Mbowe atemwe ama ajiuzulu, watu tunataka demokrasia ifuatwe.
Ina maana Chadema ni Mbowe tu ndio anafaa, je ikitokea akapata tatizo litajalo mfanya asitumie majukumu ipasavyo itakuwa ndio mwisho wa Chadema.?
Chadema sio ya wanachadema ile ni taasisi ya umma.....Hilo swali waache wana Chadema wajiulize wenyewe, iweje ccm ndio mnajiuliza?