Hakika Lowassa watanzania watakukumbuka sana

Magufuli must commit political suicide and form a coalition with Lowasa thats the only way he can achieve his goal . I know he admire and accept him but circumstances makes him not to show bcoz of the party members surrounding him. But am sure he follows Lowasa under cover of darkness like nicodemus for political guidance and advice
Ujumbe umefika.Asante sana ubarikiwe.
 
Yaani swisswism wakimsikia tu the Great ENL wanapata tumbo la kuharisha.
 
Watu wanagugumia tumboni.
YAANI JPM ALIVYOSEMA TUMUOMBEE MIE NILIKUWA NAMWOMBEA NIKAJUA IKULU ITAKUA INATOA MIKATE NA DIVAI KAMA YESU ALIVYOWAFANYIA WAFUASI WAKE ILA SASA NAAMINI MGANGA ALIYEMPA KAHIRIZI KA KUPENDWA ANGENIPA MIE NAAMINI HATA NIKIFUMANIWA NA MKE WA MTU MWENYE MKE AKINIKUTA ATACHEKA TU NA ATATAFUTA DIRISHA APIGE CHABO
 
Kauli anazozitoa mh. sana na mengine yanaoendelea katika awamu hii ambayo bila shaka yamemgusa karibu kila mtu kwa namna moja au nyingine, ninahakika wengi leo hii wanatamani wewe ndio ungekuwa Magogoni pengine yote haya yasingetokea.

Nina uhakika kama uliweza onyesha busara na uvumilivu mkubwa wakati wa kampeni, busara na uvumilivu huo ndio ungetumia kutuongoza.

Hivi sasa kila mtu anaipata elimu ya uraia automatically kiasi kwamba mpaka 2020 kila mtu atakuwa amejua thamani ya kura yake.

Bahati haiji mara mbili hata hivyo riziki ya mtu huwa haipotei bali hucheleweshwa tu.
We jamaa ni bonge la mnafiki.....nikikumbuka uzi wako wa 2013 ulivyokuwa unamponda....nabaki [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mnafiki mwingine asie na aibu huyu hapa [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Siasa za chadema ni za kisasa sana bwana mdogo , kuna kitu fulani wewe na masikini wenzio mlikuwa hamkijui kuhusu mipango yetu ya kuteketeza ccm , hiyo itakusumbua sana .
 
Magufuli must commit political suicide and form a coalition with Lowasa thats the only way he can achieve his goal . I know he admire and accept him but circumstances makes him not to show bcoz of the party members surrounding him. But am sure he follows Lowasa under cover of darkness like nicodemus for political guidance and advice

mkuu ulichoongea ni sahihi kabisa, hapa tulipo tutakuwa tunadanganyana kuwa magu na ccm atatufikisha tutakapo kusahau nguvu ya ukawa. huu ni ukweli.

japokuwa wana ccm na chadema hawawezi kubali kutokana na ushindani wa kisiasa

mheshimiwa namuombea awe na busara zaidi ya hivi vyama, atafute njia ya kuwaunganisha watanzania.

atakaebisha abishe mi naamini hivo, akishindwa fanya hivo bas atatoka madarakani kama wengine haachi legacy yoyote ambayo inamashiko kitaifa.

wananchi hawakukumbuki kwa madawati wala misaada ya nguo na chakula bali kwa kuwavusha kutoka stage flan na kwenda staji nyingine.

mungu bariki africa
 
Siasa za chadema ni za kisasa sana bwana mdogo , kuna kitu fulani wewe na masikini wenzio mlikuwa hamkijui kuhusu mipango yetu ya kuteketeza ccm , hiyo itakusumbua sana .
Unasifia mipango ambayo haikufanikiwa? Mmezidisha unafiki hadi mnashangaza. You guys are on record mkichafua Lowassa leo hii mnatetea kama vile kumbukumbu zenu zilihama kwenye hivyo vichwa.
 
mkuu ulichoongea ni sahihi kabisa, hapa tulipo tutakuwa tunadanganyana kuwa magu na ccm atatufikisha tutakapo kusahau nguvu ya ukawa. huu ni ukweli.

japokuwa wana ccm na chadema hawawezi kubali kutokana na ushindani wa kisiasa

mheshimiwa namuombea awe na busara zaidi ya hivi vyama, atafute njia ya kuwaunganisha watanzania.

atakaebisha abishe mi naamini hivo, akishindwa fanya hivo bas atatoka madarakani kama wengine haachi legacy yoyote ambayo inamashiko kitaifa.

wananchi hawakukumbuki kwa madawati wala misaada ya nguo na chakula bali kwa kuwavusha kutoka stage flan na kwenda staji nyingine.

mungu bariki africa
CCM inasonga mbele acheni kujipa moyo kwamba nyie ni wakipekee.
 
ccm na chadema wawajua wewe, sisi twaona hari na kutoa mapendekezo, mapendekezo si lazima yakufurahishe
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] jamaa huna soni hata kidogo.
Mwenyekiti wenu wa Taifa alisema ile ilikuwa ni ajali tu ya kisiasa sasa wew nenda kwanza kamuilize yeye ndio uje kwangu.Wewe kama sio mnafiki Mbona alipopewa uenyekiti wa kamati ya Bunge ya Ulinza,Usalama na Mambo ya nje haukuja hapa jukwaani kupinga?

Chenge mliomuita gamba kwenye Bunge la Katiba mliimpa Cheo gani?Wewe uliwahi pinga?
 
Unasifia mipango ambayo haikufanikiwa? Mmezidisha unafiki hadi mnashangaza. You guys are on record mkichafua Lowassa leo hii mnatetea kama vile kumbukumbu zenu zilihama kwenye hivyo vichwa.
Leo Chenge yuko wapi?Watuhumiwa wa Escrow wako katika serikali gani?Mnangoja siku watoke ndio muanze kuongea?
 
Kauli anazozitoa mh. sana na mengine yanaoendelea katika awamu hii ambayo bila shaka yamemgusa karibu kila mtu kwa namna moja au nyingine, ninahakika wengi leo hii wanatamani wewe ndio ungekuwa Magogoni pengine yote haya yasingetokea.

Nina uhakika kama uliweza onyesha busara na uvumilivu mkubwa wakati wa kampeni, busara na uvumilivu huo ndio ungetumia kutuongoza.

Hivi sasa kila mtu anaipata elimu ya uraia automatically kiasi kwamba mpaka 2020 kila mtu atakuwa amejua thamani ya kura yake.

Bahati haiji mara mbili hata hivyo riziki ya mtu huwa haipotei bali hucheleweshwa tu.

Ushawahi kufauli mtihani kwa ajili ya busara au mtu kupewa norbal price kwa kuwa anabusara
Huyo lowasa amekaa serikalini zaidi ya miaka 20 mbona hatukuona hizo busara SEHEMU yoyote zaidi ya kupiga MADILIDILI NA AKINA KARAMAI na ROSTAM
 
Back
Top Bottom