lameckkawawa
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 944
- 665
Unajua akuna kitu kibaya Kama tamaa usemi umedhilika tena kwa watu wakubwa vyama upinzani kukimbia vyama vyao na hiyo ndo ilikua nafsi Yao sasa mtu Kama lipumba anataka tena uwenyekiti tena iliweje au anafikili ateweza kuitoa ccm madarakani wakati alikimbia nafasi walikuanayo viongozi wanafiki awafai ila kwa lowassa kwenda itakua ngumu