Hakika Lissu is destined

https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1DTx1HxAq1/
 
Magufuli alichokosea ni kutaka changes without democracy.. Na huo sio uongozi bali ni udikteta
Unaweza negotiate na watu ambao hawataki hizo changes? Unafikiri watu wenye balls kama za Magufuli hawakuwepo miaka yote huko nyuma?😄

Trust me kuna watu wengi ambao hawafurahishwi na yanayoendelea ila hawako on the upper hand. You need to be on the upper hand ili ku battle na watu wasiotaka mabadiliko. Otherwise unapotea kabla ya jua halijachomoza.
 
Na kutotengeneza taasisi kajifanya yeye atosha wakati akijua ugali wake ataondoka nao
Amini ni ngumu mno kutengeneza taasisi imara katika hii nchi iliyooza tayari. Huwezi elewa ila 80% ya walioko kwenye decision making positions na vyeo currently watakuwa against wewe.

Kujenga taasisi imara kwa sasa utahitaji kufanya elimination of corruption and looting of public funds kabla ya ya lolote. Ujenge mfumo ambao uta centralize mapato, kuya control na execution of commands from Top to Down. Hapo kinachokuwa kinafanya kazi ni terms, conditions and orders hamna negotiations. Uki mess up unakuwa eliminated kwenye mfumo pasi na kuangaliana sura na wawepo watchdogs wa kuhakikisha hamna anaye mess up akabaki salama. Kwa sasa tuna PCCCB na TAKUKURU ila ni kama Toothless Dogs.
 
Na kutotengeneza taasisi kajifanya yeye atosha wakati akijua ugali wake ataondoka nao
Ndio maana namheshimu sana Mkapa alifocus na alianzisha institutions na infrastructure muhimu ambazo zinatuongoza ingawaje wahuni wanazunguka ,alikuwa underestimated sana lakini foundation ya hizi taasisi kuanzia TRA,TASAF,PCCB,Tanzania investment center,public procurement act,TANROADS etc ni Mkapa, huyu dikteta ni utekaji na mauaji tuu
 
Sahihi ila unazungumzia the wrong approach ila good intentions
 
Labda useme wengine hao walikuwa under control na wako under control vizuri tu...

Labda useme kuna upper hand tofauti ambaye ahusiki kabisa na system ila anai control.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…