O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,534 Reaction score 30,087 Dec 25, 2017 #2 Uzuri picha moja ni ya ukweli halisi na nyingine ni kufikirika
N NJOGHOMILE JF-Expert Member Joined Jun 11, 2017 Posts 694 Reaction score 1,943 Dec 25, 2017 #4 Bora ya wachagga kuliko ya wahaya
kauga JR JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 3,570 Reaction score 2,200 Dec 25, 2017 #5 Planett said: View attachment 658631 Click to expand... Duuhh mwanawane huu sasa ni ugomvi
Meja mstaafu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2017 Posts 533 Reaction score 1,124 Dec 25, 2017 #6 Haya mambo ya kutambiana makabila ni ushamba.
robert sendabishaka JF-Expert Member Joined Dec 11, 2015 Posts 3,144 Reaction score 3,338 Dec 25, 2017 #7 magige Dm said: Haya mambo ya kutambiana makabila ni ushamba. Click to expand... majigambo na utani ni tanzu/vipera katika fasihi ya kiswahili. hauwezi kuvitenga na waswahili hususani watanzania.
magige Dm said: Haya mambo ya kutambiana makabila ni ushamba. Click to expand... majigambo na utani ni tanzu/vipera katika fasihi ya kiswahili. hauwezi kuvitenga na waswahili hususani watanzania.
Mama_Aheshimiwe JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 2,746 Reaction score 4,173 Dec 25, 2017 #8 magige Dm said: Haya mambo ya kutambiana makabila ni ushamba. Click to expand... Uzuri wenyewe wanajua ni utani na mwisho wa siku huwezi sikia madhara ya huo utani
magige Dm said: Haya mambo ya kutambiana makabila ni ushamba. Click to expand... Uzuri wenyewe wanajua ni utani na mwisho wa siku huwezi sikia madhara ya huo utani
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,130 Reaction score 48,862 Dec 25, 2017 #9 Yudasti said: View attachment 658630 Click to expand... Moja ya Kweli, nyingine ni feki.
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,111 Reaction score 75,566 Dec 25, 2017 #10 Planett said: View attachment 658631 Click to expand... Hawa ni makada watiifu wa chama chakavu.