Hakika chumba cha jirani ni shida

Kuwa bize nje huko hutayasikia haya.. Enewei.. Dawa ya moto ni moto.. Akipiga kimoja we tafuta wako pigeni viwili, ongeza mic na loud spika tena uweke 'echo' mpaka mwisho
 
yawezekana bibie anajua kuulilia maana kuna wengine hata usimamie machoo meupeee
 
madem km hao wanakufanya kila cku upige puli km upo single, me nyumba hiyo sikai kwa kweli
 
Record sauti yake arafu siku moja jamaa akirudi na Mke hayupo weka Kwa sauti kubwa, jamaa atahisi kama unagonga Mke wake atakuwa na wasiwasi, ikiishwa irudie Mara kadhaa mpaka Mke wake arudi. Wataongea na hutazisikia tena.
 
Si uende ukaamulie?
Haiwezekani mnashuhudia mwanamke anapigwa hivyo nyie mpo.
 
Angalia usiwe una hamu na wewe kuulilia wa jamaa maana unaonekana kama unatamani kuulilia na wewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…