Hakika chumba cha jirani ni shida

Hii ishatukuta masela wakati tupo chuo na tumepanga uswazi.
Sita sahau kwakweli mana tulipata shida jamni duu. Ogapa kitu dirisha kwa dirisha halafu sie tupo tunapiga msuli.
Gafla zinakuja kelele za mvumo usio wa kawaida. Asee yule jamaa alikuwa mashine.
Kitu inavuma mpaka mtetemo sie hapo ndio tabu tupu. Haya mambo usiombe yakukute.
 
Nakumbuka kipindi nipo chuo tulikuaga tunapokezana ukimaliza kutoa dozi na makelele chumba kinachofuata jamaa anaanza. Maisha ya Chuo bana.
 
Kipindi nikiwa primary, broo akiingiza demu tu napanda kwenye sillingboard ni kula chabo mpaka wanalala kuna siku nusra nishuke na silling board mbovu chumbani mwao!
 
Mh! Ukute wamerekodi CD ya ngono kuwarusha roho. Ukute jamaa ana kibamia au jongoo hapandi mtungi so kuficha mapungufu ndo wanawaigizia!
 

Duh na wewe rukia wako mkuu wasikusumbue
 
Kipindi nikiwa primary, broo akiingiza demu tu napanda kwenye sillingboard ni kula chabo mpaka wanalala kuna siku nusra nishuke na silling board mbovu chumbani mwao!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
We kiboko..
 
We unatamani kupiga chabo sema huna ujanja.....
 
Pole zako wewe na tatizo la nguvu za kiume kwa maana wenzio walizonazo wanazitumia haswa
 
Mwambie mwenye nyumba aweke "ceiling board" tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…