Hakika chumba cha jirani ni shida

Pole sana lakini Ukitumia Head4n itapenza zaid
 
Akianza kupiga kelele, na wewe piga hadi nao watamani.
 
Bora huyo, kuna jirani yangu tuko mbali na si nyumba ya kupanga lakini anaongea kwa sauti kweli huyu mke wa jirani yangu! Hadi kero yaaaaani.......
... Anaboa kweli.

Kwa sasa nafikiria kuweka redio nje ya nyumba kwenye ukuta ili nisimsikie
 
owa... wakianza mgegedo na wewe gegeda...ngoma droo... wacha kulia lia
 
vyuma vimekaza bila mgegedano unaweza data na stress za maisha, acha wakunjane
 
Kwahiyo mkuu kazi yako kupiga puchu halaf kama we ni me hiyo tabia sio nzuri ya kufatilia jirani zake fanya mambo yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…