macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,190
- 60,068
Hakuna shida kabisa na kiingreza chao. Tena wameongea vizuri ukifananisha na polisi wa nchi ambazo hazitumii kiingereza kama Ujerumani au Sweden.Hawa ni Askari Polisi wa Tanzania wakimhoji binti wa Nigeria mwendesha pikipiki. Ametokea Uganda na ameeleza kuwa angeenda kupumzika/ kulala Kibondo.
Japo Kizungu cha "makamanda" wetu hakijanyooka kivile, lakini mawasiliano yamefanikiwa. Kila mmoja ameweza kumwelewa mwenzake, na hilo ndilo lengo la lugha, mawasiliano.
Hawa ni Askari Polisi wa Tanzania wakimhoji binti wa Nigeria mwendesha pikipiki. Ametokea Uganda na ameeleza kuwa angeenda kupumzika/ kulala Kibondo.
Japo Kizungu cha "makamanda" wetu hakijanyooka kivile, lakini mawasiliano yamefanikiwa. Kila mmoja ameweza kumwelewa mwenzake, na hilo ndilo lengo la lugha, mawasiliano.
Umewahi kutembelea nchi zilizoendelea ambazo hazitumii english? Hali ya polisi wao kwenye kuzungumza kiingereza ni mbaya zaidi. Labda utasema sisi tunajifunza kiingereza tangu shule za msingi? Elimu yetu nadhani unaijua.How many cc? Two fifty.
Wao: MIA HAMSINI
Dah inasikitisha sana. Hata mtoto wangu wa darasa la pili anajua two fifty ni mia mbili hamsini.
Sikatai mkuu na kuna nchi zimeendelea wala hawana habari na kiingereza. Ila kwetu sisi tunasoma kiingereza kuanzia level za chini ni ajabu ukute mtu amehitimu walau form four hajui kuwa two fifty ni mia mbili hamsini.Umewahi kutembelea nchi zilizoendelea ambazo hazitumii english? Hali ya polisi wao kwenye kuzungumza kiingereza ni mbaya zaidi. Labda utasema sisi tunajifunza kiingereza tangu shule za msingi? Elimu yetu nadhani unaijua.
Hatari sana KakaWachina bana ukienda site ndo utacheka wengine ata kiswahil hawajui vizuri ila kazi zinaenda na wanaelewana na vijana
Kama mimtu ina akili tena imesoma pcm but engilish ni tatizo mzeeNi kweli mkuu, kama kisingeeleweka asingekuwa anajibu! Makamanda kinawatosha kwa level yao! Hawa tujue wengi wao ni form failure yaani wanamzidi kidogo tu Mh. Musukuma! Kiingereza chao hakina tofauti na cha Mchina!
Mkuu. Inawezekana hakusikia vizuri. Mbona hata kiswahili mtu anaweza kukusemesha lakini ukaelewa kivingine? Hili la kusoma shuleni da... nadhani utakuwa hutendi haki kwa sababu siyo kiingereza tu bali ni kila kinachofundishwa kwenye shule hizi zetu kinakuwa changamoto kwa wahitimu.Sikatai mkuu na kuna nchi zimeendelea wala hawana habari na kiingereza. Ila kwetu sisi tunasoma kiingereza kuanzia level za chini ni ajabu ukute mtu amehitimu walau form four hajui kuwa two fifty ni mia mbili hamsini.
🤣🤣kazi na dawa.Ungekuwa una-trend kwa upopoma wa kukosa maadili ya kazi! Ungetutia aibu sana kama Taifa!
Hat Me Najiuliza Hilo Swali Tusubr WajuziGuys D Mbili zinatosha , ile camera imekaa eneo gani maan inaonyesha eneo kubwa hadi tair ya mbele inaonekan,