GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,646
- 10,859
wameharibuWameongea vizuri tuu
Ni kweli mkuu, kama kisingeeleweka asingekuwa anajibu! Makamanda kinawatosha kwa level yao! Hawa tujue wengi wao ni form failure yaani wanamzidi kidogo tu Mh. Musukuma! Kiingereza chao hakina tofauti na cha Mchina!Hawa ni Askari Polisi wa Tanzania wakimhoji binti wa Nigeria mwendesha pikipiki. Ametokea Uganda na ameeleza kuwa angeenda kupumzika/ kulala Kibondo.
Japo Kizungu cha "makamanda" wetu hakijanyooka kivile, lakini mawasiliano yamefanikiwa. Kila mmoja ameweza kumwelewa mwenzake, na hilo ndilo lengo la lugha, mawasiliano.
Huyo kwenye avatar ni wewe?Guys D Mbili zinatosha , ile camera imekaa eneo gani maan inaonyesha eneo kubwa hadi tair ya mbele inaonekan,
Hata huko naijeria kuna maeneo ukienda hawajui kingereza zaidi ya kiausa na kiyoruba tu kwa hio ukimuongelesha ngeli ni mwendo wa lugha gonganaNaam nadhani hata huyo Dada toka huko kwao alishafanya tafiti Watanzania wanazungumza lugha gani.
Look likeHuyo kwenye avatar ni wewe?
Ungekuwa una-trend kwa upopoma wa kukosa maadili ya kazi! Ungetutia aibu sana kama Taifa!Ningekuwa mimi hapo ningekuwa natrend saa hizi kwa kuomba namba😂😂😂