Hakielimu ni wakati sasa wa kutoa tamko, bado mpo na Msimamo wenu au bado mnampinga Rais Magufuli.

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Hakielimu bado walikuwa na masimamo wao wa kuishauri serikali kupanga njia bora ya kumsaidia mwanafunzi wa kike pindi anapojifungua ili aendelee na shule kama kawaida lakini hili tangazo lao zinalosambaa sasa walilitoa lini?ambalo walitaka wanafunzi wa kike wajawazito wasaidie kuendelea kusoma
Ni bora sasa Hakielimu ikatoa tamko kama bado inaendelea na msimamo wake au bado inampinga Rais Magufuli.
 
Hili tangazo linatia uchungu labda kama wewe si mzazi utachukulia uepesi kuona kawaida , itafutwe njia ya kudhibiti wanaume wakware na watoto wa kiume kuwanyemelea na kuwaharibu waschana ambao wengi wanatumia udhaifu wa waschana hao.

Rais ni mkuu wa nchi na maamuzi yake yasiwe ya jazba hata kama anaona watoto wa kike kama wanaojitakia mimba hizo. Atumie wataalam wake wamshauri juu ya kuokoa watoto hao hasa wengi wa vijijini ambako u maskini umetamalaki.
 
Muulize kwanza yeye anawatazamaje Na records yake huko nyuma inasemaje. Wengine wanaamini raisi Ni genius Na kashushwa kutoka juu.
Msije mkaamini wakware kwenda kuchunguza ukware.
 
Muulize kwanza yeye anawatazamaje Na records yake huko nyuma inasemaje. Wengine wanaamini raisi Ni genius Na kashushwa kutoka juu.
Msije mkaamini wakware kwenda kuchunguza ukware.
Mzazi yeyote unapoharibikiwa mtoto kwa mimba zisizotarajiwa au uvuta bange hutataka ukubali jambo hilo na ikibidi hata private school utampereka, sasa hawa wa shule za kata wa vijijini ambako u maskini umetamalaki nani atawaokoa ??!! Na miundombinu inaperekea tatizo hilo kuwa kubwa pengine tunavyodhani (usafiri, chakula na hata udhaifu wa kimaumbile)
 
Back
Top Bottom