kuna hili swala LA watumishi wa darasa LA saba walioenguliwa eti hawana vyeti vya form four Sasa serikali ilipowaajiri haikujua kama elimu yao ni ya darasa LA saba? Na isitoshe tangu walipositishiwa mishahara yao hakuna kauli yoyote iliotolewa kuhusu wao sana sana waziri mkuchika aligusia swala LA kulipwa Kwa waliokua na vyeti feki, kama watalipwa au LA .lakini wa darasa LA saba hawaongei kabisa utadhani hakuna kilichofanyika na hii ni dharau Kwa Watanzania wa hali za chini .ukija haya madeni wanayosema watalipa yanawahusu wakubwa waliokaimu nafasi na wengineo.shemless