mbasa ya konge
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 240
- 599
Wanabodi ni ukweli usiopingika wasaidizi wetu wa kazi (mahouse girl ) Wamekuwa wakipitia changamoto au matatizo mbalimbali wakiwa kwenye majumba yetu. Baadhi wanapitia unyanyasajwi wa kigono, vipigo vya mara kwa mara, kujeruhiwa na kufanyiwa mambo mbali mbali ambayo yapo kinyume na ubidamu.
Aidha, wafanyakazi hawa mara nyingi hawapati mda wa kupumzika kwa siku mara nyingi wanafanya kazi Hadi usiku wa manane kazi za mabosi wao kama vile kumbembeleza mtoto Hadi alale, kumtengea Chakula bosi na kumfungulia mlango kwa wale mabosi walevi wanaochelewa kurudi nyumbani.
Serikali inapaswa itunge Sheria ambazo zitawalinda hawa wasaidizi wa ndani pamoja nakupewa posho nzuri, kupewa ukomo wa kazi kama ilivyo kwa watumishi wengine ambayo ni masaa 8 na kuingizwa kwenye mifuko ya kijamii kama PSSSF, NSSF