Hallo wana jf.
Hakyamungu sheria za nchi hii zingeruhusu kutembea uchi, hawa wanawake wa kitanzania wangetembea uchi. Yaani mavazi yao ni robo tatu uch sio nusu uch tena. Wamelaaniwa.
Hali ya maisha ni ngumu bila kivazi kama hicho watakula wapi wao hivyo ndo vinawafanya waishi hapa mjini. Kama akivaa vazi la kiwaida hata salam kutoka kwa mwanaume hapati unadhani watafanya je?