Haki/Usawa wanaotaka wanawake ni shidaaa.

Haki/Usawa wanaotaka wanawake ni shidaaa.

Mbangubangu

Senior Member
Joined
May 6, 2013
Posts
188
Reaction score
70
Katika maisha ya sasa wanawake duniani wanaangaika sana ktk kudai haki na usawa kama wanaume.lakini wengi wao hawajui ni nn hasa wanacho kitaka na hii ndio inasababisha.Vifo kwa wapenzi.Ndoa kuvunjika.Malezi ya upande mmoja.Maambukizi ya kasi ya ukimwi na matatizo mengi mengi ktk familia.

1.Wazee wetu wa zamani swala la kufumania kwao halikuwa jambo la kutilia maanani sana.na walikuwa na utaratibu mzuri sana.akiwa amesafiri akirudi anatanguliza mzigo ili mama ajue yupo karibu.na pia kulikuwa na msemo kitanda hakizai haramu.vijana wa sasa hilo halipo mara DNA na mafumanizi ya kutosha.
Mwanamme kuwa na wake wengi ilikuwa sio shida hivi sasa mwanamke anasema ukimega nje na me namegwa hapo ndio haki sawa.

2.Mwanamke kushiriki moja kwa moja katika shughuli za kiuchumi.zamani wanawake na watoto ndio walikuwa wanalima na kufanyakazi za kuingiza kipato wanaume wao ni ktk kuuza. lakini walikuwa wanaheshimiana.sasa mwanamke akiwa na kipato hataki kuishi na mwanaume kwani anaona ni kuhishi chini ta himaya ya mtu so atatafuta mtu wa kuzaa nae au yy amwoe kijana.kama alivyofanya MP flani.

Je wanawake mnataka haki ya kuwa na wanaume wengi kama vile wanaume walivyohalalisha tangu enzi za Mfalme Daud?

Au mnataka mwanaume afanyekazi za nyumbani kama.kupika.kufua.kudeki na nyingine nyingi ili nyie mpate mda mzuri wa kupiga soga saloon?

Kwenu dada zetu.mashangazi.wake na mama zetu.mnajua usawa mnao utafuta au ni bora liende tu.kwa Tz wanawake wengi wanaopigania haki za wanawake ndoa zao zimekufa kwani hawajui nn wanataka.

NI MTAZAMO.
 
umenifurahisha zamani wazee walikuwa wanatanguliza mzigo kwanza nyumbani,siku hizi kwa kweli hakuna maadili si wanaume wala wanawake hakuna adabu,wacha wawatwange risasi tu watanyooka,mimi yalishanikuta naelewa inavyokuwa,kama sikumtwanga risasi mwingine lazima atamtwanga tu risasi labda aamue kuishi mwenyewe,usiombe ukaishi na mwanamke baadae ukagundua ni mnafiki.
 
Back
Top Bottom