nkungwe123
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 444
- 95
^^
Mwanamke hana tabia... Tabia huipata kwa mume
^^
Mkuu kweli una bahati nao mbaya
mmhhh, huyo bibie sasa kazidi.
Wanawake wa siku izi ni htr tupu. Jana nimenuniwa mwenzenu. Kisa eti alikuwa busy na sikumsaidia.
Cha kushangaza ni kuwa kulikuwa na shughuli mbili;
1. Kuosha sufuria 3, sahani 2, bakuli 1, mwiko, upawa na vijiko.
2. Kwenda kununua nyama buchani umbali wa m.150 toka nyumbani kwetu.
Nikamwambia zote zake. Kanuna mpaka Leo.
Hahahahaaaaa.....
Wajibu wa Mke ni nini? Dada zangu haki sawa zinawapeleka kombo. Kuweni makini.
Muwekee msichana wa kaz kuepusha kununiwa
Haki sawa iyoooo.....
mmhh, hata hiyo haki sawa sasa imepitiliza. Kuosha hvyo vyombo tu anaona shida na kununua nyama. Akipata mtoto ataishije? Anaweza kukupa umnyonyeshe kabisa kisa haki sawa
Hata hana ujauzito mdada wa kazi???!!! Hafu tupo wawili tuu, Mimi na yeye! Hapo hapana!!!
Acha kumtesa mwenzio kwani kuwa wawili tu ndo iwe sababu ya yy kutokuwa na msaidiz au ni mama tu wa nyumban? Me nipo na mume wangu tu hatuna mtoto na wala mimba sina ila mfanyakz nnae tena tulipotoka tu honeymoon akaletwa
mmhh, hata hiyo haki sawa sasa imepitiliza. Kuosha hvyo vyombo tu anaona shida na kununua nyama. Akipata mtoto ataishije? Anaweza kukupa umnyonyeshe kabisa kisa haki sawa
Hahahaaaaa..... huyo ndo mwalimu wa digrii wa taifa hili
Sizan kama alimka tu akawa na kaz ya kuosha vyombo na kununua nyama vikaz vya nyumban huonekana vidogo lakin huwa haviishi usipoangalia unaweza kujikuta hupumziki
hahahahahahaha, anatudhalilisha kwa kweli huyo mdada mwenzetu
Hakuwa kwenye mood huyo kwa kweli may be aliamka vibaya
mkuu hapo una kazi. Akipata ujauzito huyo heeee utaisoma namba...Aibu aibu..... nilimsema mpaka akanikoma Jana. Akapanga vitu vyake eti anarudi kwao. Nikamwambia akasimulie yaliyotokea bila kupotosha lolote, akaogopa na kurudi ndani....
Namuandalia somo lake LA wajibu wake wa ndani!!!