HAKI ni Mama wa AMANI

HAKI ni Mama wa AMANI

erasto Samwel

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
211
Reaction score
273
Viongozi wa dini mnao hamasisha Amani Mnashindwa nini kuhamasisha Haki.
Haki ikitawala mambo Mengine yote yatafuata ikiwepo hiyo amani mnayoihamasisha.
Kiongozi wa dini unaanzaje kuiona amani ukaicha haki.
Siwaoni mkiichambua haki mnakimbilia kwenye amani tu.
Kwani Amani chanzo chake ni nini.
Mtu kumnyima haki yake unaleta kutokuwa na Amani.
Haki uinua Taifa,Amani haiinui Taifa.
 
Inashangaza sana
 
Back
Top Bottom