Rlechas_3a60
Member
- Oct 4, 2018
- 12
- 27
Mkazi wa Kijiji Kidogo cha Kilyamatundu, Kata ya Kipeta Mkoani Sumbawanga Rukwa, Ramadhani Bitwangwa Kambati (38) mwenye watoto Kumi na Wake Watatu imemlazimu kuiacha familia yake na kwenda Jiji la Dar es salaam kufuatia madai ya haki zake.
Akizungumza na Wandishi Ramadhani alieleza kuiacha familia yake ikiwa kwenye hali ngumu ya kimaisha na kufika Jijini hapo kwa kuomba msaaada wa kisheria na wa Mahakama kupitia Serikali kuingilia kati kesi yake ya madai dhidi ya Saamoja Daudi Kalele (48) mkazi wa Kijiji cha Kilyamatundu Kata ya Kipeta Mkoa wa Sumbawanga, Rukwa. Kesi hiyo ikitambulika kwa 03/2019 na kufunguliwa katika Mahakama ya Laile Febuari 11 Mwaka huu.
"Nimekuja mjini kuhangaikia misaada ya kisheria kufuatia madai yangu ambapo maisha yangu yapo hatarini baada ya kutishiwa na bastola na mdaiwa wangu nikiwa mbele ya Ofisi ya Mwenyekiti wa Kijiji " alisikika Ramadhani
Ramadhani aendelea kueleza kuwa kumtambulisha mdaiwa wake na kwa kumtishia Batola hiyo ambayo humiliki kiharali kwa majina ya Saamoja ambaye ni mfanya biashara mkubwa Kijijini. Saamoja pia alishawahi shikiliwa na jeshi la polisi kwa kesi ya mauwaji na kutishia bastola kwa baadhi ya wakazi wa kijijini hapo.
Uviongozi wa kijiji walilazimika kumpa Ramadhani barua ya kuelekea Polisi kutokea Saamoja kukata maagizo kutoka kwa Ofisi za Serikali ya Kijiji. Kufikia kituo cha Polisi cha Kipeta baada ya mahojiano yake na pia kwa Mtendaji wa Kijiji kwa Polisi ndivyo harakati za kuelekea Mahakamani kama kesi ya madai na alitoa kiasi ya shilingi Elfu Hamsini kama nauli ya kumsafirisha Saamoja mpaka mahakama ya Laela mkoani Sumbawanga kama alivyoombwa na Polisi hao.
Mahakama ilimlazimu Ramadhani kuleta nakala yenye maelezo kutoka Ofisi ya Serikali ya Kijiji, hivyo kukosa nakala hiyo baada ya ucheleweshaji wa nakala maelezo na Kutoka kwa Uongozi wa Kijiji ilipelekea kesi yake kutokuwa na Ushahidi wa kumshinda Mdaiwa wake na kupelekea kushidwa kupata haki zake.
Akiwa anaomba msaada Mahakamani mara kwa mara aliweza k kutishiwa na mmoja wa hakimu iliyopolekea kuogopa na mzuhofisha madai yake hapo mahakamani.
Ramadhani alie nyang’anywa mali ikiwemo nyumba ya kibiashara za hoteli ndogo, duka, bar na nyumba ya wageni (Guest House) kwa thamani ya takribani Shilingi Milioni Kumi na kuendelea kupewa hasara kwa kuuza nyumba na viwanja viwili anavyo miliki kihalari venye thamani ya takribani Shilingi Milioni Kumi na Mbili na laki Nne ila kuuzwa kwa Shilingi Milioni Mbili na Laki Mbili na Uongozi wa Kijiji kwa sababu ya kulisha familia akiwa Jijini Dar es salaam.
Waandishi wakizungumza na moja ya viongozi wa Kijiji kwa njia ya simu, Mtendaji wa Kijiji cha Kilyamatundu, Justin Simbeye aliweza kuhadhailisha vitengo hivyo na kuongezea kuwa vitendo alivyofanyiwa Ramadhani si vya kisheria kupelekea kupoteza familia yake
‘Nilimwita Ofisi Kwangu na alikataa kufika na kuelekea kuendelea kumnyanyasa Ramadhani na pia kutunyanyasa Mimi na Viongozi wenzanngu hadi kufikia kuja kwenye mkutano wa Viongozi na Silaha yake’alisema Mtendaji huyo.
Nae Mwenyekiti wa Kijiji na wa Kitongoji, January Kunda na Mashaka Fungameza kwa njia ya simu waliomba msaada zaidi kwa Watanzania wa kisheria kwa Mwanakijiji huyo wakiwa wanasadia kutunza familia yake ilioko Jijijini huku yeye akiwa Jijini
''Hizi ndio baadhi ya hasara niliendelea kuzipata wakati Saamoja ameninyang’a mali zangu. Je tapeli hana ahabu? Ama Mwizi ameishinda Serikali? Ama sikupata haki zangu kwa sababu siyo tajiri?" Alihoji Ramadhani
Ramadhani ambaye sasa anaishi kwenye mazingingira magumu ya mlo mmoja huku familia yake kugawanyika kwa baadhi ya ndugu kwa kutafuta misaada. watoto wakiwa wamesimamishwa masomo na kuingia mitaani kutafuta maisha.
Akiwa Kijijini kwake alikuwa na urafiki wa kibiashara na mdaiwa huyo na hata kusaidiana mambo mbalimbali ya kiujenzi.
Kupitia vyomba mbali mbali vya kisheria, ramadhani aliweza kupeleka mashtaka yake bila ya kupatikana kwa hatima yake.