Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,439
- 166,898
kumbe akina kilaini mko wengi. eti Jk chaguo la Mungu -kiko wapi?Kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata mgombea urais wa CCM bila ya matambiko kufanyika.
Magufuli ni mlokole na mwenye hofu ya Mungu.
Tanzania sasa itanyooka, naam itanyoka.
Haki itapatikana na si upendeleo. Mwizi atatajwa kwa jina la mwizi, na atahukumiwa sawa kwa kosa lake.
Haiwezekeni uibe mabilioni ya Umma halafu uhukumiwe kifungo cha nje.
Haki bila toba hatarajiwi, akifanya toba na kutengana na waovu neno mlokole litamfaa na muda wa kufanya hivyo bado anao na walau atajiongezea kuaminika!
Kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata mgombea urais wa CCM bila ya matambiko kufanyika.
Magufuli ni mlokole na mwenye hofu ya Mungu.
Tanzania sasa itanyooka, naam itanyoka.
Haki itapatikana na si upendeleo. Mwizi atatajwa kwa jina la mwizi, na atahukumiwa sawa kwa kosa lake.
Haiwezekeni uibe mabilioni ya Umma halafu uhukumiwe kifungo cha nje.
maji hufuata mkondo
Ameshasema wezi,mafisadi,wala rushwa,wavivu na wazembe atawashughulikia KWA UPOLEE!!
Nawewe unaamini?
Teh teh teh ukiona watu wana mtaja Mungu tu ili kulainisha mioyo wapate madaraka, wakishayapata hawajali tena watu.kumbe akina kilaini mko wengi. eti Jk chaguo la Mungu -kiko wapi?