Je, unahitaji kujua kwa undani nini kifanyike Ili kukuza sayansi na teknolojia nchini usipitwe ndugu mwana JF naomba pia unisaidie kunipigia kura mwishon mwa andiko hili, Mungu akubariki 🙏🏼 Sayansi ni maarifa yapatikanayo kwa kufanya vitendo Ili kudhibitisha habari au jambo fulani. Tanzania...