Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,527
Mheshimiwa Rais anataka kusikia Yale yanayomfurahisha tu masikioni mwake. Sasa kuna Tangazo la Haki ya Elimu linaendelea kwenye TV linaonesha wanafunzi wanadondoka na dawati limevunjika vipande vipande! Kidogo kwa upande wa CCM na Magufuli linaonekana litawaumiza na kuna hatari kufanyiwa kama vile mlivyowafanya na Kapa.
Kuweni makini na Matangazo yenu maana si mazuri saana mnaichafua serikali ya CCM.
Kuweni makini na Matangazo yenu maana si mazuri saana mnaichafua serikali ya CCM.