ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
MPE pole akaendeshe biashara zake salama
Pamoja na yote huwezi kugombea hata ujumbe wa nyumba kumi bila kutumia hela. Na hakuna mtu anaweza kugombea bila kupata hata msaada wa kupakiwa katika baiskeli. Au watoe pesa kwa kujilipia nauli ili waende kumdhamini. Nadhani tuwe makini maana hata wapigakura wanasubiri hizo fedha. Hivyo mtoa fedha na mpokea fedha wote wana tegemea kupata kitu fulani kwa mtu wao akishinda, hivyo ni mpambano wa mpokeaji kiwaziwazi na mtoaji indirectly maana mtoaji akirelax basi atapata hasara. Kwa mantiki hiyo kama Lowassa kapewa fedha, hao waliompa fedha watacorrupt system ili apite. Hivi umemsikia Makongoro? Kama kiunzi cha kwanza cha Mangula amekipita sijui vingine vitamshinda vipi. Am trying to reason beyond the boxHv huku vichwani tuna ubongo au tuna uji mzito tena yawezekana wa dona!PESA ZOTE ANAZOZITUMIA HATA KM NI WEWE ATAZIRUDISHA VIPI?TUSIWE NA NJAA YA KUFIKIRI HATA KWA JAMBO DOGO KM ILI.
HATA KAMA TUNAPEWA BUKU 5 ZA KUNUNUA 8mb STILL TUSIWE WATUMWA WA KUFIKILI JAPO KWA UPEO MDOGO TU AMBAO MWENYEZI MUNGU AMETUPATIA BURE.
HATA KM NI UHURU WENU WA NANI MTUMIKIE LAKINI MNAKERA SASA
Alishavuka hio level hta nanyi mnalijua hilo ndio maana upande wa kambi zenu wooote MATUMBO NI MOTO.
Ukweli ndio huo LOWASSA KAWAZIDI KILA CORNER Mmebakia na ubwatukaji tu.
Nakushangaa sana na ninapata mashaka kuona kijana kama wewe unampigia fisadi chapuo aingie ikulu.Ulishawahi kujiuliza kuwa hiyo buku tano ya MB anayokupa kila siku ili uingie huku kumfagilia atairudisha lini pindi atakapo kuwa Rais? Naomba nikukumbushe tu kuwa hawezi kuwa Rais.Haipo sabuni yoyote ambayo unaweza ukamsafisha nayo ili aonekane msafi,ni mchafu na kila mtu anajua na ndio maana hatuhitaji kuongozwa na mtu mchafu hamna nafasi nyingine ya kutuibia.
Fisadi Lowassa aliulizwa kuhusu mabilioni aliyokuwa anatoa rushwa kwenye nyumba za ibada kayapata wapi, akadai si pesa zake ni za marafiki zake. Akaambiwa aweke list ya majina ya hao marafiki zake na kiasi alichotoa kila mmoja mpaka kesho kutwa anang'aa macho kuiweka hadharani hiyo list aliyoombwa miezi chungu nzima iliyopita.
What is the story today?Safari ya matumaini iliyoishia njiani, hakuna aliyechukua form ya Urais wa Monduli akajaribu huko kusiko na utitiri wa wagombea.
What is the story today?