-
Judgement azua kizaazaa baada ya
Madame B kutoka chumbani na ch..u..,p,y mkononi akimkimbia,,, hakatwi mtu hapa
- baada ya kupokea vijisenti vya kustaafia
Baba V aonekana akiwapanga foleni wakina dada na akina mama kumsaidia kula pensheni,,adai foleni ni ishara ya maisha bora,,hakatwi mtu hapa
-
Bishanga alala stoo ya vinywaji kwenye bar masaki baada ya kupoteza funguo na gari kuwa na pancha ya mbele,
The secretary amjia juu adai
Mamndenyi hamtendei haki,,,,hakatwi mtu hapa
-
Chocs azitwanga livelive na
ladydoctor yahisiwa
Arushaone ndio sababu,,,hakatwi mtu hapa
- babu
Asprin aoa binti wa miaka 8,,inasemekana kwa umri aliobakiza wa kuishi binti anaweza akawa ni mjane mdogo kuliko wote ikiwa babu
Asprin ataendelea kushabikia arsenal,,hakatwi mtu hapa..
hakatwi mtu hapa