Hatimaye kile chama cha wenye MIKONO SWETA aka GOVINDER kimeipongeza kampuni moja simu (JINA KAPUNI) kwa kuwasaidia kutangaza kampeni ambayo ni against ile ya DONDOSHA MKONO SWETA,akiongea na chanzo hiki msemaji wake alisema wamefarijika saaaana na tangazo la HAKATWI MTU HAPAAAA!