Hakainde Chichilema President of Zambia. Leaders are elected through the ballot by the voters and not by those who count the votes

Huyu ndiyo Mzalendo sasa. Ameshinda kihalali. Hakutumia 'policcm', wala 'tumeccm'!
Mara hii tu kaanza kuwatesa wapinzani wake, yale yale ambayo hakutaka kufanyiwa naye anayafanya dhidi ya hasimu/wapinzani wake.

Mbaya zaidi anatoa mpaka vyeo na madaraka kwa uswahiba si kwa merits, maana kuna kijana kutoka kuwa raia hadi kuwa Lt Col waJeshi.
 
Weka vivid evidence. Eti kutoka raia mpaka Lt Kanali!!
 
👇😁😁😁
Mthmb.jpg
 
Subiri uchaguzi ujao. Weka huu uzi vizuri. Asicheze na Zambia!!!!!!
Hebu tuwekane sawa mkuu, yeye anasema kiongozi anachaguliwa na wananchi na siyo wanao hesabu kura.

Hakusema as you wrote, kwa lugha nyingine hiyo ni risasi kwenye kundi la vibaka, anawakumbusha viongozi wenzake wa kisiasa wa kiafrika, iwe ataondolewa au ataendelea that's awesome message.
 
Nilitaka kukueleza kuwa next election atatumia Zambia polisiccm tu! Atasutwa naye
 
Hebu tuwekane sawa mkuu, yeye anasema kiongozi anachaguliwa na wananchi na siyo wanao hesabu kura.

Hakusema as you wrote, kwa lugha nyingine hiyo ni risasi kwenye kundi la vibaka, anawakumbusha viongozi wenzake wa kisiasa wa kiafrika, iwe ataondolewa au ataendelea that's awesome message.
Uchaguzi wowote unakuwa huru na haki ikiwa chama tawala kikishindwa.
 
Mara hii tu kaanza kuwatesa wapinzani wake, yale yale ambayo hakutaka kufanyiwa naye anayafanya dhidi ya hasimu/wapinzani wake.

Mbaya zaidi anatoa mpaka vyeo na madaraka kwa uswahiba si kwa merits, maana kuna kijana kutoka kuwa raia hadi kuwa Lt Col waJeshi.
Acha uwongo. Mpaka sasa, amemtesa nani? Bodyguard ni lazima awe mtu ambaye anaaminika na anayelindwa. Kumteua personal bodyguard wake kuna ubaya gani?
 
Kama hujui nyamaza! Nakupa miezi 6 tu, utaniambia. Hii inaitwa leadership honeymoon
Usiusemee moyo! Huyu HH hakuupata urais kwa zali la mentali kama huyu wa kwetu! Hivyo hana sababu ya kupelekeshwa na chama, dola au wenye chama chao!

Alipambana kwa lengo la kuwakomboa Wazambia wenzake kutoka kwa viongozi walafi. Yeye si mchumia tumbo kama ilivyokua kwa watangulizi wake. Alishafanikiwa kibiashara.

Binafsi namtakia mafanikio mema katika utumishi wake. Na Mwenyezi Mungu amsimaie ili asije kukengeuka kama hawa wa kwetu. Ameanza vizuri, na amalize hivi hivi ili na wale watawala wasio jitambua na madikteta kutoka nchi za kusadikika, wapate cha kujifunza.
 
Unajua expectations za wazambia wewe? Acha ngonjera
 
Back
Top Bottom