Haujitambui, pia ni limbukeni. Samahani kama nimevuka mstari.
Mwaliko utakaofuata wa Birthday mwambie utaenda uchi wa mtu, labda itasaidia kupunguza mialiko ya siku za kuzaliwa.
Hasante mepnzi ..unaendeleaje lakini.
Makopa nivuruge................
Mie mzima kabisa.Sijui wewe?
mkuu ulimaanisha nini yakhee?
Weweeeeee usitake nivunjia ndoa yangu.Kwani hujui kuwa mume wangu ni mkali.........lol
vimodo vya rangi ya njano
Ben siku hizi kawa mcheza shoo toka awe na hako katoto.