Haka katabia haka...

Basi andaa shati la pink, tai ya buluu mng'ao, sketi nyekundu/suruali na mkanda wa njano, na viatu vya kijani.

Ni PM majina tukuandalie kitambulisho kabisa!

kwa luga nyingine tunaita rangi mcharuko! mi nadhani kwakua ni dipatment ya uchafu tungevaa nyeusi tii!
 
yan unataka tukupe ushauri wa kukabiliana na genius umeula wa chuya
 
hayo mambo acha tu mtoa mada

unakuta mtu hana tatizo lolote haumwi wala nini

anakukopa mwisho wa mwezi

yaan majaribu sio kutoka kwa bosi pia wafanyakazi wenzio muda mwingine hapo ukimnyima visa vinaanza which is not good kwa watu mnaokutana kila siku
 

mkopeshe kopeshe hivyo hivyo mpaka ifikie buku10, halafu akija tena anaipunga punga mpokonye kabsaaa!
 

exactly yes masai dada samtyms inaboa sana!
 
Nakumbuka vilikua vibom vya chuo ivo.....mwanangu una buku ya karb apo one time!..hahah ad kazn tena looh
 
Hapana...tunapenda kupendeza! Karibu sana...

asanteee ila umesahau kutaja rangi ya lipstik! nasagesti iwe nyeupe peee ili hata nikiwa kweny giza totoro utaziona lips so utajua msafishaji mwenzangu yule palee!
 
mkopeshe kopeshe hivyo hivyo mpaka ifikie buku10, halafu akija tena anaipunga punga mpokonye kabsaaa!

Haa haa...nimecheka hadi basi...

Wakati tuko shule, kuna mwenzetu naye alikuwa anakuja kwenye kununua vitafunio na mihela mikubwa hivi hivi...yeye alikuwa anaomba tumnunulie kwa kuwa yeye ana 'mzinga'...tulivyostukia mchezo kila aliyeombwa akajikausha...
 
mkopeshe kopeshe hivyo hivyo mpaka ifikie buku10, halafu akija tena anaipunga punga mpokonye kabsaaa!

tehe tehe teh u made my evning jamani hapa nimecheka saaanaaaa!! asante
 

safi sana mlimkomesha!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…