Haka katabia haka...

Haka katabia haka...

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
71,970
Reaction score
177,190
Habari za mwisho wa mwezi?

Mwenzenu nakerwa sana na hii tabia sijui ndo ubahili sijui mfulio au laa. Kuna ofisi mate kila siku anakuja kazin na noti ya elfu 10. Yeye muda wote utamkuta na hiyo noti kutwa yeye ni kuomba niazime buku, una efu 2 mara moja, nikopeshe huku kaishika ile noti.

Yaani inamana mpaka siku inaisha yeye hapati chenji tu? mbaya zaidi unakuta badae hakupi hivo vijihela anavoazima kesho tena hivyo hivyo na muda mwingine anasema eti nina hela kubwa. Imekua too much sasa nikimnyima ninakosa?
 
Hebu mwambie hy tabia huipendi akirudia njoo uombe ushauri.
 
Habari za mwisho wa mwezi?

Mwenzenu nakerwa sana na hii tabia sijui ndo ubahili sijui mfulio au laa. Kuna ofisi mate kila siku anakuja kazin na noti ya elfu 10. Yeye muda wote utamkuta na hiyo noti kutwa yeye ni kuomba niazime buku, una efu 2 mara moja, nikopeshe huku kaishika ile noti.

Yaani inamana mpaka siku inaisha yeye hapati chenji tu? mbaya zaidi unakuta badae hakupi hivo vijihela anavoazima kesho tena hivyo hivyo na muda mwingine anasema eti nina hela kubwa. Imekua too much sasa nikimnyima ninakosa?[/ QUOTE]
Huna kosa.
 
Habari za mwisho wa mwezi?

Mwenzenu nakerwa sana na hii tabia sijui ndo ubahili sijui mfulio au laa. Kuna ofisi mate kila siku anakuja kazin na noti ya elfu 10. Yeye muda wote utamkuta na hiyo noti kutwa yeye ni kuomba niazime buku, una efu 2 mara moja, nikopeshe huku kaishika ile noti.

Yaani inamana mpaka siku inaisha yeye hapati chenji tu? mbaya zaidi unakuta badae hakupi hivo vijihela anavoazima kesho tena hivyo hivyo na muda mwingine anasema eti nina hela kubwa. Imekua too much sasa nikimnyima ninakosa?

Huna kosa.
 
si umwambie?au kila siku akiomba mwambie sina,mwisho ataelewa tu.mbona ni simple
 
mchane live. then mwambie na jana nilikupa hukunirudishia ... una mfuga ataendelea hivo hivo kila siku. bora amind ila ukweli umefika au boss nn???
 
Hivi mbona ulituacha kwenye mataa na zawadi?
au ulitaka tu tukuandalie menu utumie kwako,
au zawadi ilishatolewa mi sina taarifa?

Mbona we nikishakuambia nitafute nna zawadi yako ukauchuna?
 
mahondaw njoo ufanye kazi kwetu. Sisi huwa tunapenda kuuliza, "Una buku mbili aisee nikupe tano kuna mshikaji nataka kumlipa hapa nje!"
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom