Kwa post namba 13 ya Bavaria kwenye uzi huu utagundua Messi yupo sahhi maana anaonekana akiwa kashika mwiko kama anajenga (sasa kwenye ujenzi tena aje na suti kama waheshimiwa wetu wanavyovaa suti wanakwenda kupanda mti huku wametandika zuria chini
Europe ni baridi, Afrika ni joto
Muwe mnatumiaga na tuakili twenu tudogo wakati mwengine
Hv kuna heshima gani kuvaa suti wakati ni mla rushwa? ?si afadhali kuvaa sindausi lkn mwadilifu..wake up guyz