haka kabinti kana matatizo gani aisee???

haka kabinti kana matatizo gani aisee???

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,463
Reaction score
17,958
hata kama ni mapenzi!!!

habari zenu wana MMU?????????????????.......... kushoto kulia, SALUUUUUTEEEE!!!!!

aisee mwenzenu nimesimamishwa na bumbuwazi nimeshindwa kujielewa!!

aisee sijui ameshikwa na nini huyu binti!! ama ndio nimenyang'nyanywa mwenzenu??

ok, ni kwamba, nimekuwa na mahusiano ya short time na binti mmoja hivi pande flani za mwanza kwa muda wa miezi miwili, sasa baada ya time ku-expire, imenibidi nirudi bongo kuendelea na skonga. sasa cha ajabu leo nimempigia simu kama mara nne hivi, simu haikupokelewa!! mie nikadhani labda yuko na shughuli anafanya!

baada ya dakika tano, sms ikaingia kwa simu yangu kutoka kwa yule kigori inasema '' wewe nani''?

ohooo, mie nikashangaa, nikamuuliza baby ina maana hunijui? mimi ni fulani..!! niko sehemu fulani!

yeye alichonjibu ni kwamba, tafadhali usinisumbue, mimi sikujui kaka!!

kwa kweli nimesikitishwa sana na huyu mdada, alikuwa ni mbinti mwenye heshima sana mbele yangu always,

wadau, nini kinaweza kuwa kimembadilisha!!? ama inaweza kuwa ni kimimba kimempata huko??

ushauri wenu tafadhali!
 
Sasa si umesema mwenyewe ni wa short time na muda umesha expire? Usimlaumu kwa alichofanya bali laumu muda kuexpire
 
mapenzi gani hayo yeye yuko mwanza na wewe uko dar? tafuta mwengine mwache ajilie sato wake.
Nalog off
 
Tunakoenda tutakua tunauliza hadi nikiwa na njaa nifanyaje?hili linahitaji kusumbua akili za watu?
 
Usipate shida kujiuliza maswali mengi kamtafutie kibunduki umalize utata... maana ndio style yenu siku hizi!!!

Kama ulikuwa unapita tu nakushauri usigeuke nyuma.... utatupa habari ingine tafadhali
 
Kwani hujaelewa dawa ya kumpa,
Si ni bastola tu hamna kingine.
Thats the only medicen
 
Kwa staili ya Ufoo saro yatawakuta wengi ,binafsi hili game nimejiengua najipanga upya nitarudi!
 
Likizo ya x mas imefika jamani...haya maswali yasiyo na kichwa wala mguu yataisha january....itabidi tuvumilie tu.
 
We ndio mwenye tatizo la kung'ang'ania vilivyo expire..
 
Una permanent wangapi na short time wangapi?
 
we jamaa noma,wenzako wanaogopa vilivyoexpire we ndio unavitaka utakufa bure.
 
Back
Top Bottom