Haka Kabinti jamani doh!

BabaTina

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
429
574
Kuna kabinti hapa mtaa wa jirani, ukikaangalia kwa umri kanaelekea kuwa na umri kati ya miaka15-17 hvi.. kametokea kunizoe sana, ila kituko kalichotoa leo ni babu kubwa aisee.
Mtu mzima nimetoka home kwenda kununua vocha mida ya saa2 usiku hivi nkakutana nacho kwenye kijinjia cha giza baada ya salamu kikadai kinakwenda nnapoelekea..baada ya hatua kadhaa kilipoona tumefika kwenye kiza kikaushika mkono wangu wa kuume na kuuweka kiunoni pake..mwanzo sikuamini lakini ndo nikajua yashatokea hivyo..nilipotaka kuutoa mkono wangu kidada kikaung'ang'ania, nikaona duh yashakuwa mambo..sasa katika harakati za kutaka kujinasua si nikajikuta nimeshika lundo la cheni kiunoni kwake, kwanza sikuamini kabisa jinsi vile kile kitoto kilivyo na huo mrundo wa shanga kiunoni...mzee mzima nikatumia nguvu kujinasua afu nikapiga hatua za fasta na kukiacha kimeduwa...lakini bado najiuliza sana..ni kweli kale ni katoto ama mkubwa mwenzangu!?
 
Mkubwa mwenzako? Kama Tina?

Kaa mbali nako, utajasingiziwa kesi ya kubaka.
Inabidi nifanye hivo sababi duh, kuna mengi kameyafanya leo mengine ni haibu kuyaweka hapa jukwaani..coz hata hicho kinguo kalichokuwa kamevaa then juu kamefunikia na kanga ni aibu tupu
 
Kama una uhakika na estimation zako kwamba ana miaka btn 15-17 basi sio mtu mzima hiyo ni moja ila ni moto mwenye tabia chafu na asiye na maadili, lakini pia nawe una makosa kwa mtoto kama huyo kukufanyia namna hiyo ni dharau, unless otherwise ur interested too kama hukutoa kauli zaidi ya kujinasua na kukimbia hilo ni tatizo pia.
 
kuna mmoja huko anachangisha rambirambi kwa ajili ya mke wa mtu.
Sasa huyu under 18, naona unataka sanda au keko

RIP in advance
 
Inabidi nifanye hivo sababi duh, kuna mengi kameyafanya leo mengine ni haibu kuyaweka hapa jukwaani..coz hata hicho kinguo kalichokuwa kamevaa then juu kamefunikia na kanga ni aibu tupu

We kachekee ukanyee debe.
 
Kama kanasoma piga chini usije ukanyea jela miaka 30 lakini kama hakasomi bandua uone na shughuri ya shanga na cheni
 
Woga ndo umaskini wako ndg. Dog mwenyewe kaipenda muuzie tena kwa dola sio bei ya madafu
 
Kama una uhakika na estimation zako kwamba ana miaka btn 15-17 basi sio mtu mzima hiyo ni moja ila ni moto mwenye tabia chafu na asiye na maadili, lakini pia nawe una makosa kwa mtoto kama huyo kukufanyia namna hiyo ni dharau, unless otherwise ur interested too kama hukutoa kauli zaidi ya kujinasua na kukimbia hilo ni tatizo pia.
Ni kweli sikutoa kauli yoyote pale kwani ile nilipoamua kuchapa mwendo binadamu kadhaa wakawa wanakatiza, so hofu yangu ilikuwa ni kwa hao wapita njia bila shaka isingekuwa rahisi kwao kuniamini mimi rather wangemwamini yule mtoto na mie ningeonekana nazuga tu!
 
kanataka kukusambaratisha ww na familia yako
utaozea keko nani atamtumza Tina?
kama unataka mpango wa kando sogea sogea la prima,las vegas na joly club wapo wa kumwaga,
afu na mashaka kama kweli ww ni baba Tina iweje katoto kakuzoe au bado barchelor na tina ulimpata ukiwa form two tuambie.
 
kuna kabinti hapa mtaa wa jirani, ukikaangalia kwa umri kanaelekea kuwa na umri kati ya miaka15-17 hvi.. Kametokea kunizoe sana, ila kituko kalichotoa leo ni babu kubwa aisee.
Mtu mzima nimetoka home kwenda kununua vocha mida ya saa2 usiku hivi nkakutana nacho kwenye kijinjia cha giza baada ya salamu kikadai kinakwenda nnapoelekea..baada ya hatua kadhaa kilipoona tumefika kwenye kiza kikaushika mkono wangu wa kuume na kuuweka kiunoni pake..mwanzo sikuamini lakini ndo nikajua yashatokea hivyo..nilipotaka kuutoa mkono wangu kidada kikaung'ang'ania, nikaona duh yashakuwa mambo..sasa katika harakati za kutaka kujinasua si nikajikuta nimeshika lundo la cheni kiunoni kwake, kwanza sikuamini kabisa jinsi vile kile kitoto kilivyo na huo mrundo wa shanga kiunoni...mzee mzima nikatumia nguvu kujinasua afu nikapiga hatua za fasta na kukiacha kimeduwa...lakini bado najiuliza sana..ni kweli kale ni katoto ama mkubwa mwenzangu!?

je anafahamu kwamba wewe ni baba tina? Kwani hawasomi na tina shule mmoja?
 
Inabidi nifanye hivo sababi duh, kuna mengi kameyafanya leo mengine ni haibu kuyaweka hapa jukwaani..coz hata hicho kinguo kalichokuwa kamevaa then juu kamefunikia na kanga ni aibu tupu

We sema tu kuwa unakatamani kama hadithi hii ni ya kweli!
 
Aa baba T. lazima umemtengenezea mazingira ndo maana amejaa mwenyewe hlf sasa unasema anakutega hakuna lolote. kuwa mkweli.
 
Thanks kwa comments zenu kwani kadri mnavyochangia ndio nafahamu wapi nilikosea na nini nilitakiwa kufanya wakati ule.
By the way mie nna mtoto wa kike anamiaka 3 sasa though am nt married to mamatina.
 
Hhhm. . . . Labda anataka awe mama Tina.

Alafu kama umeweza kutuambia yeye alipokosea embu tuambie na wewe ulipokosea ni wapi.
 
Thanks kwa comments zenu kwani kadri mnavyochangia ndio nafahamu wapi nilikosea na nini nilitakiwa kufanya wakati ule.
By the way mie nna mtoto wa kike anamiaka 3 sasa though am nt married to mamatina.

Unatafutiwa kesi na hako kabinti ni mtego tu.......STUKAA WEWE!!! Na ungekachapa tu hata kofi ungesikia ANANIBAKAA ANANIBAKAAA.......heheh ungeskilizia mziki wake aisee!!!
 
Back
Top Bottom