Tumia kinga ndugu yangu wakati mwingine hii kitu si ya kuamini sana hubadilika mwezi hadi mwezi, kwa hiyo usimlalamikie mwenzio. Mkae chini muongee njia gani mbadala mtumie, kwani hata ulivyoiandika hapa unalaumu kwa swala ambalo wakati mwingine liko nje ya uwezo wake. Ukimpenda utamjali, kumthamini na kumheshimu.!