Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Haji Sunday Manara, ametoa wito kwa wanachama na wafuasi wa chama hicho kuombea mvua isinyeshe tarehe 29 Oktoba, 2025 siku ya Uchaguzi Mkuu nchini ili kuhakikisha kila Mtanzania anashiriki kikamilifu katika zoezi la kupiga kura bila kisingizio.
Manara alitoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Mbagala, ambapo alimuunga mkono mgombea udiwani wa CCM katika kata hiyo, Pazzi Abdulkarim Hamisi.
Manara alitoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Mbagala, ambapo alimuunga mkono mgombea udiwani wa CCM katika kata hiyo, Pazzi Abdulkarim Hamisi.