Nchi ina ufala sana hii,utakuta huko nyuma wamemtumia manara kuzima mjadala wa nyongeza ya Mishahara na watanzania tulivyo hatuna akili tumehamisha mjadala na kupeleka kwenye mambo ya kipumbavu
Haji Manara hana Effect yeyote kwenye Mpira hasa kwenye results ya uwanjani