Haji Manara na Rushaynah "Kujifanya Wamerudiana" inaweza kuwa mpango wa CCM kututoa mchezoni Sakata la Viongozi wa CHADEMA na kujiuzulu kwa Polepole


NI AKINA NANI HAO? MAANA NYIE WANAWAKE MNAANDIKA VITU KAMA WOTE TUNAVIFAHAMU. MASHOGA ZAKO WAKIFANYA JAMBO MNATUSHIRIKISHA WOTE. ANYWAY. JUST GET BUSY ACHANA NAO HAO.
 
Pole pole au kesi za kisiasa kwa sasa hazina mvuto. Kuna haja CDM wakatafuta strategies nyingine kuliko kutumia migogoro na dola kupata umashuhuri WA kisiasa na Huduma ya kijamii
 
Hayo ni matukio ya kila siku kwenye maisha,hii ni hoja dhaifu hata wasiporudiana Chadema itafanya nini,mtolewe kwenye reli au msitolewe watanzania mmekuwa na madhara gani,hizi ni akili za kipumbavu,viongozi wa chadema walishafanya maandamano ya kutosha wananchi hamjitokezi mda huo wote mnatolewa kwenye reli au hamjielewi tu,hoja zingine za kipumbavu
 
kwaio ukakaa kabsa na kubold huu upuuzi na ukawa unajiona mtu mwenyew
 
Pole pole au kesi za kisiasa kwa sasa hazina mvuto. Kuna haja CDM wakatafuta strategies nyingine kuliko kutumia migogoro na dola kupata umashuhuri WA kisiasa na Huduma ya kijamii
Una sound kama mjinga mjinga Anaetafita migogoro kati ya Dola na chadema ni nani?
 
Jana nimesema watalipwa wajinga waanze vibwanga mitandaoni, tayari na akili za wengi zitahamia huko. Kuna mambo ni ya kuyapuuza, ufate kilicho bora kwaajili ya maisha yako, ila ndiyo akili zinatofautiana.
 
Rushyana huyu huyu alimteta shoga ake Misa mobeto a.k.a Mrs Kii,

Vipi mnara kamfwata kwao shinyanga au 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…