Haji Manara Awachokoza tena TFF

Tuliza kisebusebu mama kolo
 
Hili hata sijui niliweke vipi, jana au juzi nimemuona Shaffih Dauda akizungumzia utambulisho wa Diamond kwenye kudhamini mashindano yake ya Ndondo Cup.

Ikumbukwe Shaffih naye aliadhibiwa na Kamati ya Maadili asijihusishe na shughuli za michezo.
Watakwambia ndondo cup sio mashindano ya tff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…