dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,776
- Thread starter
-
- #21
I wish I could be a president hakika Kuna watu wangeteseka mnoKila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza
Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live
Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake
HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho
Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya
Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo
View attachment 2875792
Hayo matukio yote Yana wadhamini , yeye anapata Hela kupitia hayo matukio, yupo kazini, hapo anawatangaza DSTV, Asas, tigo, Azam group, platinum,Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza
Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live
Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake
HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho
Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya
Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo
View attachment 2875792
😂 Hela tu atakazopewa na wadhamini pamoja na wapenda sherehe wenzie anaweza kulokota sio chini ya 100MKwenye hii Shughuri, Haji anaenda kuingiza Mkwanja Mrefu, kuliko pesa alotoa....!
Nashangaa watu kutokujua Namna Haji anavyojua kutumia Fursa.Na Hela tu atakazopewa na wadhamini pamoja na wapenda sherehe wenzie anaweza kulokota sio chini ya 100M
HV unaongea upupu gani weww mbna watu wa kazkasni Wana akili wee vipOne of the biggest ways people waste money is by paying full price instead of looking for discounts or ways to lower the price of an item before purchasing
Pesa chafu na wewe si utumie uishi, muda si mrefu mtaanza na Mawazo ya Kimasikini, kwamba Haji Freemason mara Iluminati, Ujinga Mtupu...!Hakuna kitu huyu anatumia pesa chafuu kuishi
Kwahyo hujui jna aliojiwa na clous na kusema kuwa yeye amelipia tukio Hilo live DStv milion 50 iki mradi ajenge na asihribu brand yake kubwaHapo Manara ndie amelipwa.
Hizo ni live Content hizo media huwa zinanunua
Dstv hapo ndio wanamlipa manara
Acha uongo wee manara ndio amelipa ili liwe livePesa chafu na wewe si utumie uishi, muda si mrefu mtaanza na Mawazo ya Kimasikini, kwamba Haji Freemason mara Iluminati, Ujinga Mtupu...!
Kwa taarifa yako Shughuri hiyo itarushwa live na DSTV, na wametangaza Channel itayoonyesha hilo tukio, Wapenzi wa Haji watalipia 10,000 kutizama hilo tukio...!
Hata kama hujui kinachoendelea Duniani, unashindwaje kujua kuwa Haji amelipwa na DSTV...!?
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] weewe kidg una hojaAnafanya biashara ya kuoa na kuacha ili akusanye michango , hiyo michango ndo faida yake kwahiyo hawezi kuacha tabia ya kuoaoa hovyo
Kwahyo hujui jna aliojiwa na clous na kusema kuwa yeye amelipia tukio Hilo live DStv milion 50 iki mradi ajenge na asihribu brand yake kubwa
You know nothing about Entertainment, na vipi watu maarufu wanatengeneza Pesa, Albino kakuzidi Skills.Acha uongo wee manara ndio amelipa ili liwe live
Lkn Kweli wasanii wengi Ni matapeliUkisikiliza wasanii na ukaamini kila wanachosema utapotea.
Hao kazi yao ni sanaa...wanapenda kusema kitu ambacho mashabiki wao wanapenda kusikia.. kupata attention
Mbona inajulikana hiyo na kama wewe ni tajiri na unataka jamaa akukasirikie basi aandae birthday party ya mtoto, yake au ndoa ya mchongo alafu usichangie chochote atakupiga majungu kishenzi, ila hata matajiri wa sasa wameanza kumshtukia asipobadili mbinu hatapata mkwanja mrefu kama aliokua anapewa zamani[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] weewe kidg una hoja
Ni was jmaa anao Kish kuacha Kila mwaka achangiwe aoe Tena na kutunzwa Kisha kuishi
Ni suala la muda usiwazeKila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza
Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live
Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake
HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho
Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya
Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo
View attachment 2875792
Madon wa town wanamuona mjinga alfu hazomeki huwez kuta kina gsm wamekuja kuuza sura leoMbona inajulikana hiyo na kama wewe ni tajiri na unataka jamaa akukasirikie basi aandae birthday party ya mtoto, yake au ndoa ya mchongo alafu usichangie chochote atakupiga majungu kishenzi, ila hata matajiri wa sasa wameanza kumshtukia asipobadili mbinu hatapata mkwanja mrefu kama aliokua anapewa zamani