dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,776
Hangaika na maisha yako kijana. Are you a demu?Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa ,leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza
Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live
Hoja
HV mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake
HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho
Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya
Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo
View attachment 2875792View attachment 2875790View attachment 2875791
Ishi maisha yako. Kufuatilia maisha ya watu hakukusaidiii.Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza
Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live
Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake
HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho
Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya
Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo
View attachment 2875792
SiangaikiHangaika na maisha yako kijana. Are you a demu?
Nitafatilia had maish yakoIshi maisha yako. Kufuatilia maisha ya watu hakukusaidiii.
Wewe ni ke ama me? maana ni aibu kujadili matumizi ya fedha ambazo hujui mtu anazitafuta kwa namna gani. Acha wivu na roho mbaya. Pambana upate hela na wewe ufanye matukio yako muhimu katika maisha!Kila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza
Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live
Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake
HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho
Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya
Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo
View attachment 2875792
Tapeli tuWewe ni ke ama me? maana ni aibu kujadili matumizi ya fedha ambazo hujui mtu anazitafuta kwa namna gani. Acha wivu na roho mbaya. Pambana upate hela na wewe ufanye matukio yako muhimu katika maisha!
What is joyYou have to find joy in life because we are only here for a short time, if you want people to remember you, you have to give them a reason to remember you.
Aache upumbavu nyinyi ndio chawa wakeWewe ni ke ama me? maana ni aibu kujadili matumizi ya fedha ambazo hujui mtu anazitafuta kwa namna gani. Acha wivu na roho mbaya. Pambana upate hela na wewe ufanye matukio yako muhimu katika maisha!
Punguza makasiriko Kaka... Nimekuja kujua Hilo Kwa kuchelewa Sana.... Umaskini wetu usiwe chukizo Kwa wenye vipato tutafute. ....
😅😅😅Kwenda uko mbuz wew
Usije kuwa wewe ndo dullah makabilaKila mwaka jamaa anafanya matukio ya ajabu ajabu kama siyo kuoa Ni birthday nw Kama siyo birty Basi nikuoa, leo January 18 Ni birthday yake wkt huo huo kutakuwa na tukio la engagement na bint tapeli wa kutoka Tanga muweza
Tukio pia litakuwa live mubashara DStv amelipia milion 50 tukio liruke live
Hoja
Hivi mwanaume mzima unafanya birthday Kila mwaka kwa kuteketeza mamilion ya shilingi for a single night ? Alfi baadae mwezi miwili unachwa na kuanza kulalaimikia wanawake
HV wazazi wake hawawezi kukaa nae chini wamueleze ukweli kuwa SASa mwanangu cheupe tumechoka na.ndoa zako za Kila mwaka Safari hi iwe ya mwisho
Huwenda manara Ana biashara yake nyuma inamuingizia pesa chafuu na Kisha kuzitumia kwenye mamb Kama haya
Kuna mijitu itanitukana kwamba nitafute pesa ,sawa pesa natafuta San ila siyo kutanya ujinga na matukio ya hovyo hovyo
View attachment 2875792
One of the biggest ways people waste money is by paying full price instead of looking for discounts or ways to lower the price of an item before purchasingWhat is joy
Joy is waste of money and time
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]Usije kuwa wewe ndo dullah makabila
Mamlaka ya kudhibiti mambo mbali mbali iko kimya inamuogopa kisa Ni albinoHawa jamaa wana mambo yao nyuma ya pazia, haoni tatizo kulipia 'live coverege' ya birthday yake.