Haji Manara Analazimisha Simba vs Yanga iwe mechi kubwa

Simba na mashabiki wa Simba washatoka kwenye kupiga kelele na Yanga na Simba kuona wapinzani wao kama Al ahaly, Kaizer, pirates etc.

Haji manara analazimisha kuwachokaza simba, eti anasema morali ya simba imeshuka wanaweza kususa kuja uwanjani. Kwa kifupi hii wiki watu wanaongelea mechi ya simba na pirates
Kwani ni lini hiyo mechi ilikuwa ndogo?
 
yanga kabaki mtani tu. wapinzani wasimba wapo misri, SA, Ivory coast.
Hao mnaowaita wapinzani wenu wanawajua kwa uchawi tu na hawajawahi kuwaona ni wapinzan wao kwakuwa hamjawahi kwenda kucheza nusu fainali na nyinyi.
 
Simba na mashabiki wa Simba washatoka kwenye kupiga kelele na Yanga na Simba kuona wapinzani wao kama Al ahaly, Kaizer, pirates etc.

Haji manara analazimisha kuwachokaza simba, eti anasema morali ya simba imeshuka wanaweza kususa kuja uwanjani. Kwa kifupi hii wiki watu wanaongelea mechi ya simba na pirates
Huyu dogo kawa kero sasa, anashindana na Harmonize kutafuta kick za kijinga....tumechoka jamani, tuwekeeni habari za maana.
 
Back
Top Bottom