Haji Manara ametoa rasmi cinema aliyosema Rais Karia

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
473
Reaction score
1,682
Ile cinema aliyosema Rais wa TFF kuhusu Yanga hatimaye leo ijumaa imetoka na angalieni kwenye Manara TV, asante
 
Muogope sana Mtu anayeandika sana habari za
1.Simba na yanga.
2. Bodi ya Ligi.
3. TFF.
4. Karia.
5. Mchezo kuhairishwa.
6. CAS.
7. Hanse Raphael kichaa.
8. Uwanja wa Taifa.
9. Kanuni hekima na Busara.
10. Manara.

MUOGOPE MTU HUYO KAMA UKOMA
 
Manara akishashikwa bapaya anakimbilia ulemavu wake kuwa wanamuonea.
 
Mambo ya Simba na yanga sitaki Tena kwanza mpira tu wa bongo bye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…