Umeandika upuuzi tupu.....Haji ataendelea kuwepo sana kwenye mpira kwakua anaupenda na unampa rizki. Huu upepo utapita na ata huu uongozi utaondoka na yeye ataendelea na kazi zake...
Kigogo aliwahi kumchafua hiyo jamaa!Moja Kati Ya Interviews za ajabu ambazo amewahi kufanya ni hii ambapo amefikia hatua Kusema kuwa Yeye Hawezi tena Kuizungumzia Taifa Stars......
Umeongea ukweli Sana na naamini Karia na genge lake wataondoka na Haji atarudi juu zaidi maana jamaa ana ushawishi mkubwa kuliko wao so chuki na wivu ndo vinawatesa Tu Ila mpaji ni MunguHaji ataendelea kuwepo sana kwenye mpira kwakua anaupenda na unampa rizki. Huu upepo utapita na ata huu uongozi utaondoka na yeye ataendelea na kazi zake...
Yaani Haji asubiri hadi akina Ali Kamwe waondoke, sasa si atakuwa ameshazeeka?Haji awe na subira ao jamaa hawana muda wataondoka na maisha yake katika soka yatarejea.
Atarudi wapi? Ihefu? Maana hata pale Ihefu kuna dogo anakimbiza balaa.Umeongea ukweli Sana na naamini Karia na genge lake wataondoka na Haji atarudi juu zaidi maana jamaa ana ushawishi mkubwa kuliko wao so chuki na wivu ndo vinawatesa Tu Ila mpaji ni Mungu
Atarudi akuoeAtarudi wapi? Ihefu? Maana hata pale Ihefu kuna dogo anakimbiza balaa.
Kwa karia si ndio alimfungulia manara baada ya kupigwa mvua leo hii karia amekuwa mbaya kwa manara kweli binadamu hawana shukran tatizo la manara anaona kila mtu anamuoneaHaji atabaki kua Haji iwe unataka au hutaki iwe ana kuudhi au kukufurahisha.
Hatma ya binadamu haijawahi kuwa mikononi mwa binadamu...
Tuwekee clip yake!! Si kila mmoja ameiona!!Moja Kati Ya Interviews za ajabu ambazo amewahi kufanya ni hii ambapo amefikia hatua Kusema kuwa Yeye Hawezi tena Kuizungumzia Taifa Stars...!
Taifa Stars...! Nini tena atazungumzia?
Akaisemee Kenya? Uganda? UK? au USA..?
Wapo Watu Wanatafuta nafasi Waizungumzie Nchi yao Kupitia Stars, bado Hawajaipata.
Kwamba yeye Sio Mtanzania tena hajali Tanzania yupo Kundi gani, kapangwa na nani makundi AFCON haimuhusu.
Kwanini haya maneno Yanamtoka Kipindi hichi?
Najaribu kumtafakari.
Yawezekana kuna kitu anakiona kwa Sasa. Bila Shaka baada ya Kupumzishwa kwa Kufungiwa alikuwa na Mategemeo kuwa Vitengo vya habari vya Vilabu alivyovihudumu Vitapwaya. Na atakumbukwa sana na Watu
Kum miss, lakini haijawa hivyo. Maisha yameendelea, Na Soka La Bongo ndo Kwanza Linazidi Kupanda.
Mazingira ya Sasa yamebadilika Kabisa..! Vijana waliopewa mikoba Yake , Sio tu Viatu VimewaTOSHA bali Wamepitiliza Matarajio Kwa Kuwa Wabunifu Zaidi yake.
Hamasa Kipindi chake Zilikuwa Zinaishia Kutoa Slogans na kufanya Media tours Kwenye Vituo Viwili vitatu vya Media.
Hawa madogo wa Vitengo vya habari vya Simba na Yanga Media tours Wanazifanya, Lakini Wanaingia Mitaani na Vispika, Kubrand Wachezaji, Beach soka baina ya Matawi, kampeni za Kibegi...nk. zote hizo Zimeeeenda mbaya..!
Halafu Manara Akizingatia Umri Unamtupa Mkono, Wakati madogo ndo Kwanza Wanaanza Carrier zao...! Usipagawe We nani?
Huyu Mzee kaona anasahaulika, Kwanini asipaniki?
Wadau wanajiuliza Haji Bin Manara ni nini Kimemsibu?
This is too low.Msameheni jamani ma albino wanakuaga na kisirani ni kawaida yao
..