Hajawahi kuniambia kama namridhisha




Ni PM tafadhaliii... tupeane hata kimoja....... Khaaa!!
 
Namba sita wajameni unalala tena wakati jamaa bado au inakuwaje hapo
 



.............once again, naona umetoa ufafanuzi mzuri...
keep it up Tulizo,
hopefully huu ushauri utawapendeza zaidi mme/mke........
Lakini hawa wa fasta fasta, sidhani ..........am sorry!!!!!
 

Hapo ni sahihi kabisa mkuu Tulizo. Tatizo watu (me) tunachukulia mapenzi kama mechanical, huku tukiamini katika idadi ya bao tunazopiga, kumbe tunawachosha wenzetu.
 
Hii nimeipenda! Unajua kuna kipindi nilikuwa napita pita kule kwenye Jukwaa la Vita na Magamba. Siku hizi nimepunguza kwa kuhofia nitafikia hatua ya kujitoa mhanga bure kama taliban.

hapa huwa napita kurefresh tu halafu narudi kwenye jukwaa letu
 
Sharp Observer... hili Desa kama ni la paper basi jamaa angepata Banda (A). nafikiri wanawake walio wengi hawako tayari sana kuwaambia wapenzi wao kama wameridhika au la... wakati mwingine kwa lengo jema pia. Si wanaume wote wako tayari kufahamu kuwa wameshindwa... tuambiane ukweli wewe umetumia akili na ujanja wako wote kumwandaa, na kukamilisha mchezo mzima halafu akwambie sijafika... it will not sound good to all men. Ili kuepusha hili inabidi a pretend, although kwa wanawake waelewa ni wamilivu as usipofikishwa leo utafikishwa kesho. Si wako bana na siku hazilingani, inategemea na mood pia(yaani siku yako nzima ilikuwaje n.k). Ila kwa mwanaume mwenye kumwelewa mpenzi wake vyema akifika kileleni lazima ajue bana... ni mtazamo
 
ukiona hivyo ujuwe bado kazi yako haijawa ya ukweli, hauitija kuambiwa utaona response yake wakati unakula kazi. na kazi yako ikiwa nzuri siku nyingine mwenye atakukumbusha marudio ya game
 

huyo KE wako namsifu sana ana akili sana... u know why? kwa kuwa wewe binafsi unaamini umeshawajibika kwa ufasaha hivi utajisikiaje kama mwenzako atakwambia hajaridhika? minacho kiona mie ni wewe kukasirika kuwa pamoja na ufanisi wako wooote yaani haridhiki tu, anachofanya huyo KE ni cha kistaarabu sana,m ameshagundua kuwa hapo wewe ndio umemaliza ujuzi na ufanisi wote, na yeye hajaridhika, sasa anaona atakuumiza endapo atakwambia hajaridhika. na siku akiridhika kweli lazima utajua tu atakuwambia tu. punguza kujiamini kuwa umeshafanya kwa ufanisi badala yako jifunze kutoka kwake zaidi anataka umfanyie nini ili aridhike.
 

ama kweli wewe ni sharp orbserver !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…