Hajavuka tangu asubuhi

"......angalia kushoto kuona kama hakuna gari, kisha angalia kulia. angalia tena kushoto kama hakuna gari, kisha vuka. hakikisha pande zote hazina magari kabisa....". hahaha!! utasubiri sana daslam!
 
Huyu lazima atakua mume wake masaidada
 
Last edited by a moderator:
Mbaya zaidi anaangalia upande wa pili wa tuta badala ya kukazania upande uliopo mbele yake
 
"......angalia kushoto kuona kama hakuna gari, kisha angalia kulia. angalia tena kushoto kama hakuna gari, kisha vuka. hakikisha pande zote hazina magari kabisa....". hahaha!! utasubiri sana daslam!

Atasubiri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…