MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
ninachosema hapa ni hivi......

mwanamke alishasitisha ndoa yake zaidi ya miezi sita iliyopita

na sasa kaolewa tena.....hata kama legal procedures ni ndefu na kazikukamilika

huwezi kumuita muongo au mzinzi........

ndoa ya zamani imekufa na sasa kafunga ndoa mpya......ya halali na uwazi kwa kila mtu....

ndo maana waarabu,talaka ni maneno tu, mara tatu,na siku hizi hata sms tatu tu ni talaka tosha

hapa tatizo ni procedures za talaka, na sio uzinzi au uwongo
...Boss, hata talaka ya maneno au maandishi bado haihesabiki kisheria mmeachana [nchini tanzania] iwapo talaka hiyo haijapitia baraza la usuluhishi na mahakama ya ndoa, na kusajiliwa RITA.
mkuu nakubaliana wewe kisheria...

but mimi ninachosema hapa kuwa ndoa na talaka sio mara zote

watu huangalia sheria zinasemaje......

watu huwa na maamuzi yao,hata kama sheria zipo tofauti kidogo...

ndo maana sheria zinatofautiana,nchi na nchi,tamaduni na tamaduni...
mume yupi sasa?! Wa kwanza ana haki ya kushtaki kisheria na akalipwa fidia

Wa pili kama wana mapenzi ya kweli washughulikie talaka (wakiwakilisha uthibitisho wa ndoa ya kwanza kutokuwepo) kisha wabariki ndoa yao but si busara kuanza au kuendelea kuishi pamoja ilhali mke anahesabika kama mke wa mtu!

Wapate msaada wa kisheria
Umeijibu vizuri. Fidia yake ni kama tshs 2000/- kama sikosei.
Hiyo ndoa ni batili, nitashangaa zaidi iwapo RITA nao waliregister ndoa zote mbili bila kujali utata wa jina na divorce decree.
ninachosema hapa ni hivi......
mwanamke alishasitisha ndoa yake zaidi ya miezi sita iliyopita
na sasa kaolewa tena.....hata kama legal procedures ni ndefu na kazikukamilika
huwezi kumuita muongo au mzinzi........
ndoa ya zamani imekufa na sasa kafunga ndoa mpya......ya halali na uwazi kwa kila mtu...ndo maana waarabu,talaka ni maneno tu, mara tatu,na siku hizi hata sms tatu tu ni talaka tosha
hapa tatizo ni procedures za talaka, na sio uzinzi au uwongo.
ninachosema hapa ni hivi......
mwanamke alishasitisha ndoa yake zaidi ya miezi sita iliyopita
na sasa kaolewa tena.....hata kama legal procedures ni ndefu na kazikukamilika
huwezi kumuita muongo au mzinzi........
ndoa ya zamani imekufa na sasa kafunga ndoa mpya......ya halali na uwazi kwa kila mtu....
ndo maana waarabu,talaka ni maneno tu, mara tatu,na siku hizi hata sms tatu tu ni talaka tosha
hapa tatizo ni procedures za talaka, na sio uzinzi au uwongo
Point The Boss, swala la talaka, hasa pale mwanamke anapotaka kuachana na mumewe, mara nyingi linakuwa na kizungumkuti, kwa mwanaume ni rahisi kuamua na kutekeleza, lakini pia kunakuwa na ugumu zaidi hasa kama wahusika watahusisha mali walizochuma kipindi cha ndoa, kama mwanaume ndiye aliyekuwa mchumaji mkuu, swala la kutoa talaka kwake litakuwa gumu kwa maana ya kujali zaidi zile mali. kwani moja kwa moja atajua kuwa kuna kugawana mali na kwa mwanamke kama yeye ndiye aliyekuwa mchumaji mkuu, atawaza 'yaani niondoke halafu hizi malia aje kuafaidi mwingine'ninachosema hapa ni hivi......
mwanamke alishasitisha ndoa yake zaidi ya miezi sita iliyopita
na sasa kaolewa tena.....hata kama legal procedures ni ndefu na kazikukamilika
huwezi kumuita muongo au mzinzi........
ndoa ya zamani imekufa na sasa kafunga ndoa mpya......ya halali na uwazi kwa kila mtu....
ndo maana waarabu,talaka ni maneno tu, mara tatu,na siku hizi hata sms tatu tu ni talaka tosha
hapa tatizo ni procedures za talaka, na sio uzinzi au uwongo
Point The Boss, swala la talaka, hasa pale mwanamke anapotaka kuachana na mumewe, mara nyingi linakuwa na kizungumkuti, kwa mwanaume ni rahisi kuamua na kutekeleza, lakini pia kunakuwa na ugumu zaidi hasa kama wahusika watahusisha mali walizochuma kipindi cha ndoa, kama mwanaume ndiye aliyekuwa mchumaji mkuu, swala la kutoa talaka kwake litakuwa gumu kwa maana ya kujali zaidi zile mali. kwani moja kwa moja atajua kuwa kuna kugawana mali na kwa mwanamke kama yeye ndiye aliyekuwa mchumaji mkuu, atawaza 'yaani niondoke halafu hizi malia aje kuafaidi mwingine'
Lakini hata pale mke atakapoonesha kutojali hizo mali na kutaka kuachana na mume, bado kutakuwa na usumbufu wa hali ya juu, wote tunajua jinsi maswala ya kisheria yalivyo magumu hapa nchini na ndio maana wengine hufikia kuondoka na kwenda kuanza maisha upya. Je akipata mume mwingine ndio asiolewe?.............. Bado nauliza sheria inamlindaje huyu mwanamke.