Duh hiyo ndoa tayari ni batili! Ila muwage mnahakikisha wapendwa tena shukuru MUNGU huyo mume mwenza hakujakukuumbueni siku ya arusi
Ilikuwaje mkuu?
ninaiita batili kwa kuwa mmoja wa wanandoa hawa hakuwa muwazi kwa mwenzake ama sivyo angemweleza ukweli kuwa hajapewa talaka kisha mwenzie akakubali na kukubaliana wafunge ndoa hivyo hivyo ndo tungeidefine kama halali kwao but the fact kuwa mume hakujua hilo bado ni batili kisheria hata kiwao!hakuna kitu kama ndoa batili

ndoa hasa ni maamuzi tu yenu wawili.....

hapo ndoa ni halali,isipokuwa legal procedures ndio batili,but ndoa ni halali..
hawakufunga ndoa kanisani wala kwa mkuu wa wilaya...
ilikuwa birthday ya mandela.....
kabla ya sherehe za birthday waliita ndugu na famillia na kufanya sherehe za kimila
na kujitangaza ni mke na mume.....
ninaiita batili kwa kuwa mmoja wa wanandoa hawa hakuwa muwazi kwa mwenzake ama sivyo angemweleza ukweli kuwa hajapewa talaka kisha mwenzie akakubali na kukubaliana wafunge ndoa hivyo hivyo ndo tungeidefine kama halali kwao but the fact kuwa mume hakujua hilo bado ni batili kisheria hata kiwao!
mume yupi sasa?! Wa kwanza ana haki ya kushtaki kisheria na akalipwa fidiaUnadhani huyo mume anatakiwa kuchukua hatua gani?
emrema umesema sawa bado talaka ni muhimu ili wawili hawa waishi hiyo NDOA yao bila kwayo bado ni wazinzi tu!Ndoa sio sheria wala kingine ni MOYO. Hapa hata kanisa linatatizika sana na kusababisha waumini wamkosee mungu kwa kwaombea wenzi wao wafe ili wajitoe. Waislamu walliona hili sawa kabisa kwa kuruhusu talaka.

Nasema hivi kama mioyo ya wawili hawa ipo tayari kuwa pamoja NDOA tayari, mengine ni maadhimisho tu.
Ndoa sio sheria wala kingine ni MOYO. Hapa hata kanisa linatatizika sana na kusababisha waumini wamkosee mungu kwa kwaombea wenzi wao wafe ili wajitoe. Waislamu walliona hili sawa kabisa kwa kuruhusu talaka.
Nasema hivi kama mioyo ya wawili hawa ipo tayari kuwa pamoja NDOA tayari, mengine ni maadhimisho tu.
emrema umesema sawa bado talaka ni muhimu ili wawili hawa waishi hiyo NDOA yao bila kwayo bado ni wazinzi tu!
kwakua hakua mdadisi basi ni mpambaaaf na asubirie kimnukieUnadhani huyo mume anatakiwa kuchukua hatua gani?
The Bosi hawa wawili hawako kijijini na ndio maana walifunga ndoa in the first place! Na mtoa mada ameileta hapa asaidiwe sio tumpuuze kwa habari za kufikirika! Hao wa kijijini wanarruhusiwa kumchukua mke wa mtu na kuishi naye tu kwa kuwa hakuna sheria wala kanisa?!
Tofautisha kuishi tu na mtu ambaye hakuwahi kumilikiwa kihalali whether through sheria za serikali, dini au traditions ambazo nazo pia zatambulika kama zitafuata taratibu zake