Mimi naona afadhali huo muungano uishe, kila upande ushike ustaarabu wake. Mimi nasubiri tu kwani ingawa serikali na CCM inajivuta vuta siku hiyo itafika tuwe nchi mbili tofauti na kero zitatuishia sote, then tutaishi raha mustarehe!---
Historia ya dunia inaonyesha kuwa hii miungano ya kulazimishana mwisho wake huwa utengano tu.
Ninadhani suluhu itakayokata mzizi wa fitina ni kuwa na serikali ya majimbo ambayo Zanzibar itakuwa jimbo lenye Gavana wake kama majimbo mengine. Hii itawapa Wazanzibari wasaa mzuri wa kuamua mambo yao wenyewe katika ngazi ya jimbo na vile vile itatoa haki sawa kwa majimbo mengine.
Zanzibar kama wanahitaji kuwa na wawakilishi zaidi uwekwe mpango kamambe ili wawalipie mishahara n.k. kutoka bajeti yao ya serikali ya mapinduzi na tuache kutumia hovyo pesa za walipa kodi kwa uchu wa madaraka.
Hivi sasa serikali ya Zanzibar ina wawakilishi wengi sana per head katika serikali na sina uhakika kama kweli wote wanahitajika kulipwa pesa nyingi hivyo bila kazi za kueleweka.
Kwani hao waliopo sasa wanalipwa na nani? na kwanini wasilipwe na Muungano kama hao waliopo sasa! Na hao wanaotangaza madini na mbuga za wanyama mbona hawalipwi na Tanganyika? na wapo kwenye balozi hizohizo. Hawa jamaa wakipiga kifua kwenye nyanja za kimataifa mnawaletea kauzibe.
Tanganyika imejificha kwenye Muungano ili ifanye inavyofanya sasa, na ndio Mchonga akapinga kwa nguvu yote kuwepo kwa Serikali ya Tanganyika, coz alijua kufanya hivyo kutaifanya Zanzibar irudishe heshma yake kama nchi kwa 100%.
A DAY WILL COME
Umefika wakati wa kuweka data hapa asiyekuwa nazo akae kimya ili wenye nazo waweke. Tuanze na gharama zote zinazohusu serikali ya muungano na uchangiaji wake.
Tuvumiliane ili tupate usahihi nani anatoa nini lini na wapi, hakuna haja ya kuhitaji kupanda ndege wakati hujanunua ticket.
achana na habari ya population ,mulipokuja kuungana na zanzibar mliungana nayo as independent state , mkiwa milioni 40 au 50 thats none of our bussiness, kama sio kuungana na nyinyi tungekuwa na balozi kila sehemu ,kuwa na upeo wa ufahamu. kuhusu kudekezwa tunakudekezeni nyinyi mnaoamua kila kitu mnachotaka huko tanganyika na mnataka zanzibar tuwe wafuataji mkumbo tu, hizo scholarship mnajifanya kuzitoa kwa jina la tanzania, na zote zinaishia kinyemela huko tanganyika sie tunapata za underground tu.kisha leo unakuja hapa unatamka kikejeli kwamba tukapige kitabu kwanza hebu nenda zenji kisha zunguka tanganyika na angalia parcentagewise ,wapi kuna uneducated people wengi? usiangalie idadi ya watu.Hawa wazenj ni walalamishi sana. Kwani hao mabalozi 5 hawatoshi kuwawakilisha? Maana ukichukulia population yao ni ndogo kwa ratio labda watakuwa over representing. Wanadekezwa sana.Wapige kitabu kwanza.
just 4get abt it! labda kuwe na serikali ya zanzibar halafu tanganyika iwe jimbo la zanzibar kama ilivyokuwa mombasa b4Ninadhani suluhu itakayokata mzizi wa fitina ni kuwa na serikali ya majimbo ambayo Zanzibar itakuwa jimbo lenye Gavana wake kama majimbo mengine. Hii itawapa Wazanzibari wasaa mzuri wa kuamua mambo yao wenyewe katika ngazi ya jimbo na vile vile itatoa haki sawa kwa majimbo mengine.
achana na habari ya population ,mulipokuja kuungana na zanzibar mliungana nayo as independent state , mkiwa milioni 40 au 50 thats none of our bussiness, kama sio kuungana na nyinyi tungekuwa na balozi kila sehemu ,kuwa na upeo wa ufahamu. kuhusu kudekezwa tunakudekezeni nyinyi mnaoamua kila kitu mnachotaka huko tanganyika na mnataka zanzibar tuwe wafuataji mkumbo tu, hizo scholarship mnajifanya kuzitoa kwa jina la tanzania, na zote zinaishia kinyemela huko tanganyika sie tunapata za underground tu.kisha leo unakuja hapa unatamka kikejeli kwamba tukapige kitabu kwanza hebu nenda zenji kisha zunguka tanganyika na angalia parcentagewise ,wapi kuna uneducated people wengi? usiangalie idadi ya watu.
acha kukejeli watu. wakati zanzibar ilipoendelea hakuna alieijua tanganyika katika ulimwengu huu. leo mmepata hivyo viji tv ndio unaona uwakejeli wenzio. ushasahau wakati tanzania nzima inaangalia tv moja tu nayo ni tvz.
hebu andamaneni muombe serikali tatu muone zanzibar itakuwa wapi? mnaimeza halafu mnailaumu! najiskia hasira tu nikiona maneno ya kejeli kama haya.daaamn! sijui ilikuwaje tukaungana. what a mistake!
nachukia sana mtu anapoleta habari ya population na akasahau kwamba zilizoungana ni two independent state ambazo.
sometime nikikumbuka kabla ya kuungana na sasa tulivyo najikuta natokwa na machozi tu ,especially nikiona kauli za kejeli kama hizi za huyu kijana hapa juu.
hili poleni, hatutaki kulisikia, na ndio maana CHADEMA hawana chao zanzibar.
just 4get abt it! labda kuwe na serikali ya zanzibar halafu tanganyika iwe jimbo la zanzibar kama ilivyokuwa mombasa b4
achana na habari ya population ,mulipokuja kuungana na zanzibar mliungana nayo as independent state , mkiwa milioni 40 au 50 thats none of our bussiness, kama sio kuungana na nyinyi tungekuwa na balozi kila sehemu ,kuwa na upeo wa ufahamu. kuhusu kudekezwa tunakudekezeni nyinyi mnaoamua kila kitu mnachotaka huko tanganyika na mnataka zanzibar tuwe wafuataji mkumbo tu, hizo scholarship mnajifanya kuzitoa kwa jina la tanzania, na zote zinaishia kinyemela huko tanganyika sie tunapata za underground tu.kisha leo unakuja hapa unatamka kikejeli kwamba tukapige kitabu kwanza hebu nenda zenji kisha zunguka tanganyika na angalia parcentagewise ,wapi kuna uneducated people wengi? usiangalie idadi ya watu.
acha kukejeli watu. wakati zanzibar ilipoendelea hakuna alieijua tanganyika katika ulimwengu huu. leo mmepata hivyo viji tv ndio unaona uwakejeli wenzio. ushasahau wakati tanzania nzima inaangalia tv moja tu nayo ni tvz.
hebu andamaneni muombe serikali tatu muone zanzibar itakuwa wapi? mnaimeza halafu mnailaumu! najiskia hasira tu nikiona maneno ya kejeli kama haya.daaamn! sijui ilikuwaje tukaungana. what a mistake!
nachukia sana mtu anapoleta habari ya population na akasahau kwamba zilizoungana ni two independent state ambazo.
sometime nikikumbuka kabla ya kuungana na sasa tulivyo najikuta natokwa na machozi tu ,especially nikiona kauli za kejeli kama hizi za huyu kijana hapa juu.
u comedian ameanza niliemquote. ungekuwa mstaarabu zaidi kama ungeangalia niliemquote ameandika nini kwanza? be fair. sitaki kuwa rais wa zanzibar wala sina nia hiyo isipokuwa naongea reality whatever it costs even if for sacrifying my soul. thats me. ukipenda u r welcome .hukupenda. thats me and my name is me.Naona umekuwa Comedian siku hizi. Suala la Muungano is more than CCM and CUF, Kikwete, Karume and Maalim Seif. As long as ideolgy za Bw. Mandevu bado zipo hai, na Kichaka anataka kuweka kambi uani kwetu, hayo yote unayoongea hapo ni ndoto za Kimweru.
Wewe ukiwa rais wa Zanzibar leo ninakuhakikishia huwezi kufaya lolote lile na ukizubaa utaondoka muondoko wa marehe Mzee Karume (RIP). This is geopolitics mjomba.
kutokwana machozi ni emotion tu na haina maana kwamba ukitokwa na machozi ndio umekuwa baby angalia wapiganiaji wa haki maarufu wote duniani utagundua katika sometime of their life wamedondokwa na mchozi. machozi ni emotion na sio utoto.na kukurekebisha katika lugha yako .mimi nimesema nimetokwa na machozi na sijasema kulia.kulia na kutokwa na machozi ni vitu viwili tofauti.hata hivyo usijali.time will tell.we r just around the corner.Sasa unalia nini? Kila saa unalia lia tu like a crying baby. Stop crying and do something.