Haja kubwa:-

Haja kubwa:-

kamkoda

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
396
Reaction score
71
Hivi unavyokwenda kupata haja kubwa unajisikiaje? mbona wengine uwa wanalengwa lengwa na machozi?
 
aah wewe utakua una KONSTIPESHENI tu, kula sana mapapai kulainisha haja hiyo
 
aah wewe utakua una KONSTIPESHENI tu, kula sana mapapai kulainisha haja hiyo

Hahaha. . .kamkoda ana contipation. . .ale bamia kwa wingi na nyanya chungu, hapo hatatoa hata chozi.
 
We huwa unajickiaje?Au ndo machozi na weweupata haja kubwa unajisikiaje? mbona wengine uwa wanalengwa lengwa na machozi?[/QUOTE]
 
hakuna starehe nzuri kama kunya, na reseach inaonyesha kuwa, ukiwa unakunya unauwezo mkubwa wa kutuliza akili na kuwaza mambo ya maana.
 
hakuna starehe nzuri kama kunya, na reseach inaonyesha kuwa, ukiwa unakunya unauwezo mkubwa wa kutuliza akili na kuwaza mambo ya maana.

kunya sio starehe bwana wee...kunja ni relief bwana.
 
Jamani msifanye masihara na kuharisha hiyo kitu ni balaa hapo akili zote zinahama na kijasho chembamba lazima kikutoke.mbaya zaidi ni pale unapouona mlango wa choo yaani utafikili nayo yanajua kuwa yamefika kwao inakuwa ni balaa.
 
Hahahahaaa! Uuuwiii.. Eti unalengwalengwa na machozi! Wakati mie chooni kuna Magazeti ya stori taaam, unananiliu huku unasoma gazeti!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom